Marafiki wa namna hii kaa mbali nao...

Marafiki wa namna hii kaa mbali nao...

Kama wewe unavochezea akili za watu humu na multiple ID zako...
 
Habari ya usiku mwingi....

Ni vyema ukikaa mbali nao utaepuka mengi yatayokuletea makwazo, sonono na upweke.

Kaa mbali nao .......

1. Wote wanaokwambia nakupenda pindi wanapokuwa wamekunywa kilevi ila akiwa soba anakuita dada au kaka mpendwa.

2. Wote wanaokwambia wananyege wewe hivo muende mkafanyane pindi wawapo wamekunywa kilevi ila wakiwa soba wanaongea siasa uchumi maisha na elimu tuu.... (to Kasie they are cowards).

3. Wote wanaokufata PM kukwambia wanakupenda kisha wanaomba namba ya simu na uwatumie picha ya taswira yako.

4. Wote wanaokufata PM kukwambia habari za wengine, kuwa makini na utachomjibu maana atatoka na kwenda kuwaambia wengine.

5. Hapa ujitahidi kuwang'amua wote wanaokung'ong'a.... yaani kwenye thread anakusemesha na ID yake ya siku zote halafu PM anakufata na ID mchepuko wengine PM anakufata na ID yake zoefu kisha jukwaani anakuchetua na ID mchepuko hawa jitahidi kuwatambua mapema kabla hawajakuletea sonono na uwaepuke mapemaaa.

6. Wote wanaotaka kukujua undani wako kwa nguvu na haraka na kujifanya wao ni watu wako wa karibu sana ili wakisha kupata wakutangaze kama shilawadu bila kujali hisia zako.

Waepuke mapemaaaa laah ukae nao chonjo kama sungura au panya yaani umelala lakini macho yako wazi na una ng'ata huku unapuliza.

Wako wengi wa kukaa nao mbali ila kwa leo ni hao tuu, waweza ongezea wengine.

Nasema Waepuke Mapemaaaa tenaa

Kaa Mbali Nao.....

Kasinde.
Hapo kwenye ID mchepuko hapooo! Kuna dada nilimfuata pm kwa ID ya kawaida, akachepuka na ID nyingine nikamfuata pm mimi na ile ile yangu ya siku zote. Akauliza wewe mbona unafuata fuata watu, nikamwambia ni wewe tu nakufuata, hata ukifungua ID mpya nyingine ntakufuata. Akafuangua ya tatu, nikamfuata tena! Mara hii akaniuliza umejuaje kuwa ni mimi? Nikamwambia ni siri yangu
Siku hizi simuoni sijui anajiandaa na paper la form six?!!!!
 
Aisee
 
Kwa kawaida nikilewa hata baamed ntamuona mzuri kuliko beyonce ila asubuh pombe zikiisha nkiamka pemben yake ntajiuliza maswal mengi sana

Duuh ......
 
Kama wewe unavochezea akili za watu humu na multiple ID zako...

Eenhee hebu niambie hapa upenuni ID zangu zote, ziorodheshe hapa halafu tuwaombe mods waziunganishe.

Nimekuruhusu zitaje.
 
Aiseee hao wapo humu kuna mmoja aliniambia mm n x wake nilijua ni utani akanizidi kunishupalia...kuna watu wana matatzo kwel.
 
Eenhee hebu niambie hapa upenuni ID zangu zote, ziorodheshe hapa halafu tuwaombe mods waziunganishe.

Nimekuruhusu zitaje.
Rejea maelezo yako namba 5 kisha jijibu mwenyewe.
 
Habari ya usiku mwingi....
...
Wako wengi wa kukaa nao mbali ila kwa leo ni hao tuu, waweza ongezea wengine.

Nasema Waepuke Mapemaaaa tenaa

Kaa Mbali Nao.....

Kasinde.

Ni vizuri ukatupa kati ya hayo ni yapi yamekupata ili tuamini siyo ngonjera tu, tukupe pole!
 
Hapo kwenye ID mchepuko hapooo! Kuna dada nilimfuata pm kwa ID ya kawaida, akachepuka na ID nyingine nikamfuata pm mimi na ile ile yangu ya siku zote. Akauliza wewe mbona unafuata fuata watu, nikamwambia ni wewe tu nakufuata, hata ukifungua ID mpya nyingine ntakufuata. Akafuangua ya tatu, nikamfuata tena! Mara hii akaniuliza umejuaje kuwa ni mimi? Nikamwambia ni siri yangu
Siku hizi simuoni sijui anajiandaa na paper la form six?!!!!

Hahahahaaa hiyo safi sanaaa, tena ukizijua zote za mtu mmoja unamtumia PM yenye ujumbe mmoja kwenye ID zake zote. Hahahaa lazima akuombe radhi usimtaje au atakuchunia hakujibu lolote.

Mie mara nyingi tuu watu wananiambiaga unatuchezea akili na ID zako mchepuko..... daah nikiwaambia hebu zitajeni wanakimbia. .... siwaelewi hata.
 
Kwanza ni tabia za kipumbavu kwenda pm kuongea ya wengine, kwa nini msiongee yenu? Tongozaneni, danganyaneni lakini msiongee ya wengine, hayawahusu.!!
 
Mmmh experience yote hiyo, sema tu ukweli upate dawa

Dawa nshapata ndo maana nimeyaweka hapa matukio yote ili wengine wajifunze. Hiyo dawa yako wee iweke hapa itawafaa wengine.

Siku zote Kasie huelezea matukio yake, hili ni mojawapo. Kisha nawe ni angalizo kwako.... kaa mbali nao na kama hawajakukaribia angalia usijestukia umewakumbatia.

Kasinde.
 
Back
Top Bottom