Marafiki wa namna hii kaa mbali nao...

Marafiki wa namna hii kaa mbali nao...

Kulikoni..... hujaandaa msosi mtamu leo? Ni mpenzi wa kuangalia movie? Weka movie unayoipenda ikiisha macho yamechoka unalala au kama wapenda soma vitabu, chukua kitabu kimoja kitamuu soma walau chapter 2 ukianza kuanzia wahi kitandani ulale.

Polee... ila usisahau kukaa mbali nao..... wotee.
sijiskii kufanya chochote .
 
Habari ya usiku mwingi....

Ni vyema ukikaa mbali nao utaepuka mengi yatayokuletea makwazo, sonono na upweke.

Kaa mbali nao .......

1. Wote wanaokwambia nakupenda pindi wanapokuwa wamekunywa kilevi ila akiwa soba anakuita dada au kaka mpendwa.

2. Wote wanaokwambia wananyege wewe hivo muende mkafanyane pindi wawapo wamekunywa kilevi ila wakiwa soba wanaongea siasa uchumi maisha na elimu tuu.... (to Kasie they are cowards).

3. Wote wanaokufata PM kukwambia wanakupenda kisha wanaomba namba ya simu na uwatumie picha ya taswira yako.

4. Wote wanaokufata PM kukwambia habari za wengine, kuwa makini na utachomjibu maana atatoka na kwenda kuwaambia wengine.

5. Hapa ujitahidi kuwang'amua wote wanaokung'ong'a.... yaani kwenye thread anakusemesha na ID yake ya siku zote halafu PM anakufata na ID mchepuko wengine PM anakufata na ID yake zoefu kisha jukwaani anakuchetua na ID mchepuko hawa jitahidi kuwatambua mapema kabla hawajakuletea sonono na uwaepuke mapemaaa.

6. Wote wanaotaka kukujua undani wako kwa nguvu na haraka na kujifanya wao ni watu wako wa karibu sana ili wakisha kupata wakutangaze kama shilawadu bila kujali hisia zako.

Waepuke mapemaaaa laah ukae nao chonjo kama sungura au panya yaani umelala lakini macho yako wazi na una ng'ata huku unapuliza.

Wako wengi wa kukaa nao mbali ila kwa leo ni hao tuu, waweza ongezea wengine.

Nasema Waepuke Mapemaaaa tenaa

Kaa Mbali Nao.....

Kasinde.
Harafu nakufananisha sana ujue

Teh
 
naogopa sana Kasie lakini si unajua ukweli humuweka mtu huru

Hahahahaaa kwa kudiriki kwako kusema hapa hadharani tayari woga umeshakutoka. ...

Kaa mguu sawa tuu maana ni wakati wowote ule tukio laweza tukia. Likikukuta hauko tayari inakuwa basi tena... bahati yako mbaya.

Kasinde.
 
Back
Top Bottom