Marafiki, mie nilipata mwenza hapa

Sanaaa sanaaa... kwa mapicha alioweka mitandaoni... wee na umbo sasa.. mtandaoni.. kumbeee...sio yeye.. sio kabisa.!!
Umejua nichekesha mpk machozi [emoji28][emoji28]
 
Watu tunatofautiana mm mweupe na napenda mwanaume mweusi sijui kwa nini sipendi weupe
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Watu wana fall in love na avatars na uandishi wa watu humu ndani

Umenena kweli mkuu mimi kuna avatar ninazizimikia humu acha kabisa, avatar ya kasinde, heaven sent na Tzed.

Usiniulize swali la jinsia yangu tafadhali kwani sitakujibu.
 
Hii thread imenifundisha kitu yaan nimecheka mpk machozi usione mtu kafall in love kwako kumbe anakuektia jifanye kumtumia pic sasa unakuja kuanzishiwa thread apana kwa kweli bola tujuane hvi hvi kwa avatar [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ahhhahh polee

Asanteee... hahaa.. sometimes ukiwa mwanaume shombe kama mm, you have to follow ur heart but you hv to carry ur brain with you..!! ukiachia moyo tu.. utaliwa kweli..!! Governor ya moyo ni akili..!!

Na Kwaheriiiiiii...!!

Hahahhh sasa mkuu badoo si mtandao wa machangudoa [emoji28][emoji28]

Ha haaa... si unajua tena nn na nn... macho hayana pazia, nikaona mtoto mkaliiiiii... moyo ukaanza kiherehere, sbb kazi kubwa ya moyo ni kusukuma damu... sasa ukaanza kupenda wakati sio kazi yake... kiherehere cha moyo... nikaanza kufukuzia... nilirudi mkia nyuma kama mbwa mwoga.. weee.

Ebu acha bana, naona hata aibu...mambo mengine hayafai kuandika bana...!!

Mmmhh..haa.. ciaoo..!!
 
Umenena kweli mkuu mimi kuna avatar ninazizimikia humu acha kabisa, avatar ya kasinde, heaven sent na Tzed.

Usiniulize swali la jinsia yangu tafadhali kwani sitakujibu.
Ushawajengea taswira mkuu.
Mimi kuna moja uwa naielewa japo najua itakuwa kali zaidi ya huyo anayeitumia[emoji1]
 
Umenena kweli mkuu mimi kuna avatar ninazizimikia humu acha kabisa, avatar ya kasinde, heaven sent na Tzed.

Usiniulize swali la jinsia yangu tafadhali kwani sitakujibu.
Hahaha jinsia yako ina nini?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…