It’s your business only if you understand. No comprehension, no business whatsoever 😀As long as you type something here it is not your own business dear....just to remind...
Kumbuka Mzee wa Msoga na Msomali ex soldiers. . Kwa mbaalii naona ya Al BashirRais wa nchi Ana nguvu sana
Hata waungane Jakaya, Kinana, Mbowe, Zitto, Membe hawana uwezo wa kumtingisha Rais
Sema kwa ninavyofahamu uelewa wa Siasa zetu na uelewa wa Siasa wa kina Jakaya, hawawezi kufanya kosa alillofanya Dr Salmeen Amour wakati wa Karume kumuunga mkono Dr Gharib Bilal
Of course I understood. The vagabond idealiasm...It’s your business only if you understand. No comprehension, no business whatsoever 😀
Tunamtaka mwanadiplomasia na jasusi mbobezi aje chadema kugombea urais wa Tz kwa tiketi ya chadema-bavicha.CHADEMA wasimpokee mtu yoyote kutoka CCM na kumpa nafasi ya kugombea, ni usaliti kwa watanzania. Lissu anatosha
Hivi Amour yuko wapi? Aisee ni somo tosha, jamaa kapotezwa mazima!Rais wa nchi Ana nguvu sana
Hata waungane Jakaya, Kinana, Mbowe, Zitto, Membe hawana uwezo wa kumtingisha Rais
Sema kwa ninavyofahamu uelewa wa Siasa zetu na uelewa wa Siasa wa kina Jakaya, hawawezi kufanya kosa alillofanya Dr Salmeen Amour wakati wa Karume kumuunga mkono Dr Gharib Bilal
Sawa,kupitia chama gani?Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.
Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.
Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.
Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.
Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.
We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?
Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.
Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.
Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.
Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.
Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.
We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?
Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Tutaligawa jeshi letu pendwa jwtz maana 90% ya wajeda watamuunga mkono jk
Membe angeweza kuwa rais mzuri lkn tukamkosa kisa "mwaga ugali nimwage mboga". Matokeo yake kila idara ni tabu isipokuwa makampuni ya ujenzi toka nje ya nchi, pengine hayo ndiyo yatampigia kura.
Wafanyakazi wamechoka,wakulima hoi,biashara zinakatisha tamaa,sasa sijui MTU anaongoza kwaajili ya nani?! Maisha bora yamegeuzwa maisha ya tabu? Hakuna mwunganiko wa serikali ilopita na hii sana ni wasasa kujidai wao ni makini kuliko wrote walopita. Jenga ujengavyo lkn bila wananchi kufurahia maisha yao viongozi humfai kuongoza nchi.
Kwa lowassa aliyoyafanya upinzani kama bado watu hawajajifunza,watakua mafala kwa 100%.
Upinzani utakapokuwa una uwezo wa kusimamisha wagombea katika majimbo yote na wasikatwe kwa kukosea kujaza fomu ndipo unaweza kuzungumzia impact ya uraisi. Mfano 2010 Chadema walisimamisha wagombea 100 kati ya majibo 250; hata kama Dr Slaa angeshinda angeongoza vipi wakati hana wabunge?
Raisi mpya wa Congo mpaka sasa hajaweza kuunda serikali maana hana wingi wa wabunge yuko "Dilemma"
Kikwete ni mtoto wa mjini. Lolote linawezekana kwenye siasa.Ila hawawezi hamia CHADEMA. Sema tu wanaweza weka Membe ashindane na Magufuli kura za maoni.
Cowboy lzm aliwe kichwa,la sivo watagawana fito.Membe hawezi kufanya kosa la kuhamia upinzani. Membe atapambana ndani ya CCM. Bila shaka anabackup kubwa. Ndiyo maana RA ametumiwa ili kutikisa kichaka waone kama kwale ataruka. Hiki ni moja tu ya kipimo vitafuata vingine. Kumbuka pia kuwa RA ameumizwa sana na anamachungu mengi. Utashangaa RA na Membe wapo mahali wanajipongeza.