Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Hakuna Kiongozi mwenye akili timamu ambaye anaweza kujiunga na chama kingine zaidi ya ccm ilihali tume ya uchaguzi sio huru.
Huyo atakuwa ni mwehu.especially urais. LA akili zake anazijua mwenyewe
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.

Magufuli kwa sababu Kikwete kwa sasa kadharauliwa sana na watanzania hata na wewe mwenyewe, nani anamtaka kumsikia Kikwete? Jamaa alikuwa very useless kuwa rais wetu, angalia mikataba ya kijinga aliyoingiza hili taifa bila hata kupata faida yeyote. Hivi kuna mtu mwenye akili kweli atataka kuwa na uhusiano wowote na Kikwete au Membe?
 
Kweli we mbishi. Hata ibilisi ana wafuasi. Hakuna aliye mmbaya asilimia Mia na pia hakuna aliye mzuri asilimia Mia. Hata huyu anamapungufu yake tusubiri dk 90 zake ziishe ndo tulinganishe, Sasa hivi bado mapema.

Si mapema kwani anaonesha dalili nzuri toka aingie madarakani.
 
itakuwa movie ya hatariiii itauza africa na nje ya africa.......Crimea wanawasalimu kwa mkono wa Russia
 
Mkuu hawa kina jakaya and Co hawana ubavu wa kumfanya chochote JPM kwa sasa,muda wao umeisha. Watabaki kumsumbua sumbua tu ila hawawezi kumfanya ashindwe kufanya utekelezaji ww anayotaka kufanya. Taasisi Rais ni Kubwa na ina nguvu sana
 
Ndio maana enzi za jk hata magu alikuwa haongei japo alikuwa anaona madudu kibao. Alishawahi kuitwa hadi mbwa akiwa waziri na mmoja wa mabest wa jk enzi zile na hakuchukuliwa hatua yote.
Baadaye uliona alivyochukua hatua???
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
This is wishful thinking.
 
Kujoin CHADEMA si yatakuwa yaleyale ya E.L?

Back
Top Bottom