Msengapavi
JF-Expert Member
- Oct 23, 2008
- 8,919
- 7,771
Kazi na bata
Hii yaani isitokee kabisa. Kama pigo la Lowassa halijawafundisha CHADEMA basi hili la kina Membe, Bashe, Serukamba, na Nape litaiua kabisa CHADEMA na kuifuta kwenye ramani ya siasa za ushindani za vyama vingiNawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.
Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.
Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.
aiseeKunyooshewa Kidole tu yatosha kumjua Mwizi .
Kama ilivyoibuka ule wa serikali za mitaaMimi ninachojua CCM ndio itaibuka kidedea