Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

Watashughulikiwa na mwenyekit mpaka wachakae
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Upinzani utakapokuwa una uwezo wa kusimamisha wagombea katika majimbo yote na wasikatwe kwa kukosea kujaza fomu ndipo unaweza kuzungumzia impact ya uraisi. Mfano 2010 Chadema walisimamisha wagombea 100 kati ya majibo 250; hata kama Dr Slaa angeshinda angeongoza vipi wakati hana wabunge?

Raisi mpya wa Congo mpaka sasa hajaweza kuunda serikali maana hana wingi wa wabunge yuko "Dilemma"
 
Vyama viko vingi sio lazima ajiunge na Chadema. Uzoefu unaonyesha kuwa hii tabia ya Chadema kuchukua mamluki toka ccm ndio kwa kiasi kikubwa inachangia kuwadhoofisha.

Na kwa hii tume hata agombee nani kutoka upinzani hawezishinda ni kupoteza muda tu.
 
Kwa siasa za Tanzania..

Ni vigumu sana watu kuungana na wakamtoa anaetawala..

Tumejijengea na kuupata utawala mkono mrefu zaidi kisiasa. Walioko madarakani wanakuwa na nguvu na ushawishi wa kutumia dola kupata kile wanachotaka..

Hata wajiunge jk, na kina mkapa! Ni ngumu sana kumtoa mzee baba.

Otherwise, baadhi ya mamlaka za kiserikali zimgeuke kitu ambacho ni kigumu manake kila mahali kaweka team yake

Nasema ni ngumu..! Labda 2025.
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Kwa hiyo Chadema miaka yote inategemea wanaotoka CCM?
 
Wanajua nguvu za mtu atwaye raisi hao hawawezi kuthubutu, la sivyo mafaili yao tangu wakiwa vijana yataibuliwa kokote kule yalipo yafanyiwe kazi
Ndio maana enzi za jk hata magu alikuwa haongei japo alikuwa anaona madudu kibao. Alishawahi kuitwa hadi mbwa akiwa waziri na mmoja wa mabest wa jk enzi zile na hakuchukuliwa hatua yote.
 
CHADEMA wasimpokee mtu yoyote kutoka CCM na kumpa nafasi ya kugombea, ni usaliti kwa watanzania. Lissu anatosha
Chadema hawawezi kuingia kwenye urais bila kumtafuta mtu wa kumuhonga ccm.
 
Ndivyo ilivyo umewaza ,Ila Mimi nimeota ndoto hiyo malanyingi tene mchana kweupe nikipataga usingizi
 
Wapinzani wakifanya hvyo tena watakuwa hawana akili sawasawa, kwanini membe asiyafanye hayo akiwa CCM hukohuko
 
Watu wakitaka katika kura za maoni anachomoka tu tena sio mbali tu bungeni tu hapo watu wakiamua wanapiga Kura za kutokuwa na iman na raisi kwisha habar sema ndio chumia tumbo funika kombe mwana haramu apite
 
Hao hawatoki CCM, bali sema mapinduzi ndani ya CCM inawezekana , hata msoga alipokuwa akivurugwa na Akina lowasa na Rostom, nae kushindwa kuwazuia, CCM ilimshughulikia na hata kulikuwa na mipango ya kumyanganya uwenye kiti wa chama.

CCM inaweza mfungia speed gavana
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Ccm miaka yote bara huwa inapita kihalali. Hebu angalia hi timu, lowasa, sumaye, kingunge, mwapachu, masha etc. Na bado hawajashinda. Mi naamini ccm bado itashinda tena kihalali kabisa
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.

kuota inaruhusiwa, ila ndoto zingine hazisimuliki

Kama unajua nguvu ya rais, usingeandika hiki

yaani hata CCM members wote waondoke, ila maadam ni rais!...atashinda tu
 
Kama Mafaili yata fukuliwa hakuna atakae kuwa Salama ,mpaka alie Madarakani nae ata chafuka vya kutosha.

Umenikumbusha enzi zile zinapigwa ngumi hakuna anayekubali kushindwa, kama mmoja apasuka juu ya jicho bas ujue mwingine anatoka damu puani
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Endelea kuota, kukicha nenda kakojoe.
 
Kikwete ni mtoto wa mjini. Lolote linawezekana kwenye siasa.Ila hawawezi hamia CHADEMA. Sema tu wanaweza weka Membe ashindane na Magufuli kura za maoni.
 
Back
Top Bottom