Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Hayo yanawezekana CCM ikiwa na hali mbaya kisiasa ili watawale kwa mlango mwingine kama walivyotega 2015 lakini kwa hali iliyopo joto ni la kutengeneza! Upinzani wa kutengeneza ni controllable ndio maana wale mabingwa wa matukio tunawachora tu! Siasa sasa zitakuwa ni Membe and Co. na mapambio ya kuwasifu kutoka Chadema, wapinzani wakishtuka uchaguzi serikali za mitaa umeisha na Wabunge na Urais umefika!! Wapinzani hawajifunzi!
 
Mkuu hii Tz naiona Miaka 100 ata CCM Wote waamie Upinzan abaki Rais na system yake, tena ndo anatafuta muhula wa mwisho Ccm itashinda tu mkuu.....!
 
Rais wa nchi Ana nguvu sana

Hata waungane Jakaya, Kinana, Mbowe, Zitto, Membe hawana uwezo wa kumtingisha Rais

Sema kwa ninavyofahamu uelewa wa Siasa zetu na uelewa wa Siasa wa kina Jakaya, hawawezi kufanya kosa alillofanya Dr Salmeen Amour wakati wa Karume kumuunga mkono Dr Gharib Bilal
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Ukimaliza kuwaza kwa sauti pia uwaze kimya kimya
 
Kikwete ameshashika nafasi ya urais kwa miaka 10 na ndiyo maana HAWEZI kufanya jambo la kijinga kama hilo. Kwanini? Kwa sababu anajua nguvu na uwezo aliyonao rais na amiri jeshi mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pengine wengi mmesahau nguvu aliyokuwa nayo Lowassa kuelekea uchaguzi wa 2015! Lakini pamoja na nguvu na kila uungwaji mkono aliokuwa nao bado ''alitulizwa'' na kutulia kama zoba fulani hivi. Hizo ndizo zinautwa nguvu za amiri jeshi mkuu na rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.

Upo sahihi Mkuu ,lakini Nguvu ya Jeshi ni tofauti kabisa na Nguvu ya Wananchi.Utakuwa Madarakani lakini kwa kuwekwa na hivyo vyombo ,haina hata Raha.Wizi sio mzur
 
Nakwambiaje? Mtu anatulizwa na anatii bila kuiba kura! Lowassa alipotulizwa mbona watu ndiyo kwaaaanza wana raha kuliko!
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Tutaligawa jeshi letu pendwa jwtz maana 90% ya wajeda watamuunga mkono jk
 
Nakwambiaje? Mtu anatulizwa na anatii bila kuiba kura! Lowassa alipotulizwa mbona watu ndiyo kwaaaanza wana raha kuliko!

Mkuu insonekana wewe Genius ,unajua mpaka ndani ya Mioyo ya Watu (Watanzania) wana wazaje hongera sana kwa hilo.
 
Kwanza tunatakiwa tuelezane maana ya neno """SIASA""
 
Mkuu insonekana wewe Genius ,unajua mpaka ndani ya Mioyo ya Watu (Watanzania) wana wazaje hongera sana kwa hilo.
Nakuhakikishia huhitaji kuwa genius ili uwajue watanzania in and out!
 
waongeze na kina lubuva na mkapa na mwinyi mshindi atatoka ccm tu
labda nyerere arudi amshike mkono
 
Wanajua nguvu za mtu atwaye raisi hao hawawezi kuthubutu, la sivyo mafaili yao tangu wakiwa vijana yataibuliwa kokote kule yalipo yafanyiwe kazi
KAMA UNAWAZA SAWASAWA KUMBUKA

1:JACOBO ZUMA NA THABO MBEKI WALIVYOTOKA KABLA YA MUDA.

2:MUGABE ZIMBABWE

3:ALBASHIR SUDAN.

EVERTHING IS POSSIBE
 
Membe angeweza kuwa rais mzuri lkn tukamkosa kisa "mwaga ugali nimwage mboga". Matokeo yake kila idara ni tabu isipokuwa makampuni ya ujenzi toka nje ya nchi, pengine hayo ndiyo yatampigia kura.
Wafanyakazi wamechoka,wakulima hoi,biashara zinakatisha tamaa,sasa sijui MTU anaongoza kwaajili ya nani?! Maisha bora yamegeuzwa maisha ya tabu? Hakuna mwunganiko wa serikali ilopita na hii sana ni wasasa kujidai wao ni makini kuliko wrote walopita. Jenga ujengavyo lkn bila wananchi kufurahia maisha yao viongozi humfai kuongoza nchi.
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Ukishatoka madarakani ni sawa tu na kung'olewa meno,hao uliowataja wana nini cha kumtisha Magufuli ? Magufuli ana Kila kitu cha Kumfanya ashinde,hao uliowataja wana nini?
 
Mkuu hawezi kufukua mafaili wakati yeye amejaa UOZO kuliko mwingine yeyote yule Nchini. Nchi itawaka moto.

Back
Top Bottom