Mara PaaP, Jakaya, Kinana Wanamuunga Mkono Membe 2020.

mgombea wa ccm anafahamika,mgombea cdm huenda nae akafahamika,kitendawilki ni mgombea wa ACT
 
Mkuu hahitaji kura hata moja ili kutangazwa kuwa rais, cha muhimu tume itii maagizo na jeshi lilipe fadhila basi.

Kwani tume Na jeshi sio wahanga wa maslai bora ? Mishahara, posho nk.Wakiamua kuside Na upinzani je ili wamkaange vizuri bahili hawana cha kupoteza.
 
Kama ungelikuwa unajua nguvu ya amiri jeshi mkuu wala usingeli andika hizi taka taka
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.

Hizi politiki ziko Kenya.
Hata hivyo lolote linaweza kutokea.

Never trust politician.
 
Ingekuwa poa sana.
Kwa Kenya hii ingekuwa poa sana lakini kwa TZ hii itakula kwake Membe, Chadema na hao uliowasema wanaweza kumuunga mkono Membe.

Ogopa mfumo wa vyama vya kijamaa/kikomunisti vikishika dola. Kuachia sio rahisi kama KANU ilivyo achia madaraka.
 
Kwani tume Na jeshi sio wahanga wa maslai bora ? Mishahara, posho nk.Wakiamua kuside Na upinzani je ili wamkaange vizuri bahili hawana cha kupoteza.

Kwa taarifa yako wanajeshi hasa wa vyeo vya juu wanapata maslahi bora kimya kimya. Hiki kilio cha mambo magumu hakiwakuti.
 
Kwa Kenya hii ingekuwa poa sana lakini kwa TZ hii itakula kwake Membe, Chadema na hao uliowasema wanaweza kumuunga mkono Membe.

Ogopa mfumo wa vyama vya kijamaa/kikomunisti vikishika dola. Kuachia sio rahisi kama KANU ilivyo achia madaraka.

Vimekufa vyote sembuse hiki kilichobebwa Na dola.Chama kikongwe cha China kimebebwa Na wananchi kinatimiza maslai ya wananchi kinatatua kero za wananchi thus ni ngumu kufa,chama chochote kinachobebwa Na dola lzm kitakufa.
 
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.

Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.

Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.

Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.

Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.

We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?

Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.
Inawezekana lkn uchambuzi wako wa kitoto, huonekani kama mtu unayeelewa siasa za masuala makubwa!
 
Vimekufa vyote sembuse hiki kilichobebwa Na dola.Chama kikongwe cha China kimebebwa Na wananchi kinatimiza maslai ya wananchi kinatatua kero za wananchi thus ni ngumu kufa,chama chochote kinachobebwa Na dola lzm kitakufa.
Ni kweli lakini kitakufa lini?
Tuwe wakweli CCM kitachelewa sana kufa hasa kwa aina ya viongozi hawa wa upinzani wanaobadili gia angani kama 2015.
 
Upinzani ni upinzani tu hata ukitokea ccm
 
Yani wewe, na skendo yao yote hayo kweli watathubutu kuhamia chadema, kwani hawajitaki?
Kwanza wahamie chadema kwenda kufanya nini, wakati chama chenyewe kiko mautiuti?
 
Ona vijana wa Bavicha waliyo mazuzu! Lisu kwao sasa hivi ni Takataka mbele ya Membe[emoji23][emoji23][emoji23]dah alafu tutegemee ccm kutoka madarakani kwa akili hizi?
 
Kama Mafaili yata fukuliwa hakuna atakae kuwa Salama ,mpaka alie Madarakani nae ata chafuka vya kutosha.

Tatizo mnakuja na mawazo yenu ya kuuza ubuyu kwenye muhimili Wa kufunga sheria...Kwa Africa Wa kumtoa raid madarakani sio wapinzani ni wanajeshi tu...Huyo Membe akalale tu.
 
Ona vijana wa Bavicha waliyo mazuzu! Lisu kwao sasa hivi ni Takataka mbele ya Membe[emoji23][emoji23][emoji23]dah alafu tutegemee ccm kutoka madarakani kwa akili hizi?

Hawajielewi kabsaaa...Mwenzao sasa yupo anasota kwa Magongo na wao wamemwaga wanamsapot Membe.....Chama kishajifia hiii.
 
Back
Top Bottom