Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Nawaza kwa sauti, Mara PaaaP 2020 Membe anachuku fomu na Magufuli. Huku na huku wanatumia dola Magu anajipitisha kibabe.
Baada ya Maasaa 24 Membe anaita vyombo vya habari na Kujiunga na CHADEMA na washirika wake.
Nape, Bashe na Serukamba wanaungana na Membe.
Tukiwa tunashangaa Comrade Kinana akiwa arusha naye anaungana na Membe.
Wakati tungishangilia Jakaya anaita Press Msoga na kutangaza kuungana na Membe huko upinzani.
We unaonaje, Nani ataibuka kidedea. Membe au Magufuli?
Usiseme haiwezekani, Kwenye politics kila kitu kinawezekana.