Liko wapi daftari la kudumu la wapiga kura?

Subira the princess

JF-Expert Member
Mar 3, 2018
2,477
2,651
wasalaam, inashangaza mpaka sasa serikali ccm na tume ya uchaguzi ya ccm hawana mpango wa kuandikisha wapiga kura wapya ktk daftari la kudumu la mpiga kura. ukiangalia kule upande wa pili visiwani Zanzibar.

wametoa utaratibu na wanaandikisha wapiga kura wapya. ikubukwe 2024 kuna uchaguzi wa serikali za mitaa ambao ni uchaguzi mama kuelekea uchaguzi mkuu 2025.

Hapa naona CCM wanaandaa magoli ya mkono na udanganyifu ili kuchezea chaguzi hizo kama walivyozoea miaka yote kisha wanakuja kujisifu wameshinda kwa kishindo tena bila haya wala aibu.
 
Kitu kiliniuma uchaguzi uliopita ni kunyimwa fedha za uchaguzi baada ya wenyeviti kupita bila kupigwa
 
Back
Top Bottom