Kaka kwenye issue za mali na familia zilizobubikwa na tamaa iliyozidi mipaka nawezekana kabisa, kaka doubt kubwa iko kwa huyo maid wa Aneth, huyo mke wa marehemu hamjui wala hana uhusiano na huyo maid, huyo maid aliletwa na mama wa marehemu na ndio anamjua kwa muda mrefu huyo mama kakaa na maid zaidimya miaka kumi ndio akamleta kwa mwanae WHY?, sasa iweje Mke wa Erasto apange kumuua Aneth na Maid akae kimya while yuko ROYAL na karibu mno na mama wa Aneth, si angesema tu mpango uliopo?
Kwa ilivyokiwa sio raisi kwa maid kuwa timu moja na mke wa marehem, lakini ni rais mno kiwa timu moja na mama Aneth, NI SIMPLE LOGIC TU
Cc:
HOPECOMFORT