Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

hilo wanajua wenyewe ila kila mtu anasema jamaa alikuwa anamla dada yake
 
Inaonekana huyu jumayu anamchanganya mary na @mulhati mpunga.
Huyu mkuu mwenzetu Mulhat Mpunga inaonekana ndo alifanya SG hotel na akapewa nyumba huko sakina na erasto,
ha ha ha ha,kisha mke wa erasto akasikia maneno maneno ndo akawa anamchunguza huyu mulhat mpunga na hatimae kufikia kumtishia mguu wa kuku,
aisee,hiki kisa inatakiwa tukitungie riwaya
 
Amen amen amen. .nimeipenda hii....
 
Kuna maneno ya kwenye vitabu vitakatifu linasema 'TAFUTENI UFALME WA MWENYE ENZI MUNGU NA HAKI ZAKE NA MENGINEYO MTAZIDISHIWA ' na 'NITAFUTENI MIMI MAANA MKONO WA KULIA NINA UHAI NA MKONO WA KUSHOTO NINA UTAJIRI TELE' hapa inayo ongelewa ni HEKIMA. ...SHEKINAH. ....ukiipata hiyo hakika utastarehe milele hapa duniani
......have a nice day my friend
 
we mkuu unajua mengi sana,'lakini pia haimake sense huyu mke wa erasto amuue Aneth na si Atuj huyo aliekuwa akilala na kaka mtu,
pia kama aneth kalele na mke wa erasto yaani mama simon,logic tu ni kuwa kuna possibility aneth na huyo mama simon walikuwa karibu sana na hivyo family ya erasto wakaona amewasaliti na kumtumia housegal kumspy na pia kuwezesha mauaji,
hapa inatakiwa motive tu,kwanini huyu mama simon amuue Aneth na si atuj
 
Hiyo nisawa kbsa lkn mwanadamu amekuwa mgumu kuelewa jambo hilo
 
yap najua anaweza hata asihisikue lakini pia anaweza kuwa ni muhusika inategemea tu............. mioyo yetu wanadamu ni vichaka kwa mfano kama mimi nina roho ya kisasi ukiniudhi leo naweza kukulipa miaka mitano ijayo ..........hatuwezi jua kabisa wala sijui
 
Oa, ila weka majina ya watoto katika mali zako. Hapa utakuwa mpiga stop mke ambaye ni golddigger.
Kwa nini asioe mwanamke mwenye nacho? Mbona wako wengi sana. ...lakini kama una inferiority complex ...hapo utapata matatizo
 
Mpaka mahakama ithibitishe.....
Ww ndovu....
anaweza akawa hana hatia,mpaka sasa procedure wanazikosea kwani haiwekani mtuhumiwa azuiriwe kuonana na mwanasheria wake,
hata wakati wa kumhoji kama lawyer anae,inabidi awepo,kwani vinginevyo mahakamani anaweza kudai alikuwa totured na kulazimishwa kukiri kuwa ana hatia
 
whatever.............................
 
Ni kweli atoe utetezi atakavyo uwanja ni wake,
na maswali tumuulize
kama si @marrymvungi tungejuaje kuwa polisi walienda kukagua na kuchukua mikufu ya dhahabu ya mtuhumiwa pamoja na magari mawili?,
 
Wanawake wa kipare wakoje? Maana Nina mchumba mpare nategemea Mungu akipenda aje kuwa mama chande wangu...

Angalizo:
Nampenda sana Hutu tu manzi alafu ni bikra kwahiyo siko Tayar kumwacha hata nisikie nn kumuhusu.
Bikra???
 
Kwa kiswahili kidogo mkuu...
 
Yani binamu nimekuaje busy daah najitahid jujigawa wapi, ila nawamis sanaaa, warumi nipo, inabid tutengeneze group la whatsapp tuwe tunapiga umbea huko
Halafu wanamficha hajulikani kawekwa wapi maana hayupo kituo chochote cha police ndugu zake wameenda kumuona ila alikuwa ndani ya taxt kioo kikashushwa kidogo amejaa makovu akauliza watoto wake wanaendeleaje ile tu ndugu yake anamuuliza mbona unamakovu wakamwambia haruhusiwi kuongea tena wakawasha gari wakaondoka tangu ijumaa yupo na nguo zilezile walikataa asipewe hata nguo za kubadili
 
Uongo bana ni shida we umeanza kwa uongo na umemalizia na ukweli tukueleweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…