Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Huwa wanadamu tuna tabia za kuwanyooshea watu wenye mafanikio vidole kwa wivu, chuki na husuda.

Ubaya huenezwa zaidi kuliko wema na ndivyo maisha yalivyo. Hata wewe ukipata mali nyingi au mafanikio makubwa lazima uchafuliwe.

Sikatai kuhusu maagano ya kishirikina kuwepo miongoni mwa jamii, isipokuwa ni siri ya mhusika. Nadhani kama ni kweli mtu ambaye angelijua hili zaidi baada ya wahusika wenyewe ni Miriam {mke wa Erasto}, hivyo angeutumia zaidi msamiati huo wa "incest"lakini haikuwahi kusikika kwake akilalamika kuwa kuna wifi alikuwa akitembea na kaka yao.

Tukijiuliza ushahidi wa Erasto kutembea na dada yake hatuwezi kupata hata kiashiria. Itabaki tu kuwa tetesi labda huyo dada aconfess mbele ya watu. Hivyo ukiwa fighter mwenye mafanikio ktk maisha yapo mengi utazushiwa
 
Sasa kama sio kukogombania mali ni nini, sika mmewe uumesema ameandika mke wake akitaka kuolewa aachie mali Sasa si achie akaolewwe aanze moja
Mke hana haki ya mali? Acheni kunyanyasa wanawake bwana. Bado mdogo inamaana akae bila kuwa na mwenzi kwa misingi gani. Huu ujinga wa kunyanyasa wanawake psychological unapaswa kukemewa na sio kutetewa kabisa.
 
Mako alitoa production kubwa kipindi kile istoshe kulikua hakuna ligi kubwa ya brokers.najua marehemu kapambana sana kimaisha mpka kua juu pia alikua anapata sana kofia mawe yakitoka kwenye migodi ya appolo
 
Oa, ila weka majina ya watoto katika mali zako. Hapa utakuwa mpiga stop mke ambaye ni golddigger.
hapa nahisi umesahau kushauri na wanawake waweke majina ya watoto kwenye mali zao zote. mawazo hayo ni ya 1940's ila sasa wanawake wengi ndio wenye nguvu ya uchumi kwenye familia wanawafichia siri tu hao unawataka waandike majina
 


samahani kama ni wewe ungelikuwa wewe ungekubali kuwa unatembea na dadako? .............. kwanini izushwe hivyo tunamjua erasto tumekaa na kufanya naye kazi bhana hata wewe hujui ukweli na wewe uache kutetea ujinga maana kwavile ulikuwa unafanya naye mambo haikufanyi kujustify uswain wake maana kutembea na ndugu yako ni zaid ya uswain na pesa kaziacha haohao wanazigombea ..........................


NONESENSE
 
Tatizo lenu huwa munaokotaga wanawake waliochoka huko Bar ndio mnaoa kisa tu anajua kukata mauno.. Hivi ukioa mwanamke aliyetoa kwenye familia ya kueleweka na anayeijua dini mtakutana na hayo mnayosema?? Acheni kuokota wanawake wa ajabu ajabu huko mitaani alafu mnakuja kusingizia makabila..
 
hahahaha haaa nimecheka sana kwakwelihii thread siisomi tena maana
 
unanikumbusha story moja ya james hadley chase,nimesahau jina lakini mama mtu alicheza deal,akamuua mwanae tajiri ili yeye ndo arithi ile mali,
kitendo cha polisi waliomkamata yule housegal,kumwacha faragha na mama mkwe ambae nae anaweza kuwa possible suspect,kinatia shaka sana,na polisi hawangekubali kirahisi bila huyo mama kupenyeza rupia
 
HAHA kAZI INAENDELEA UKWELI UTAAMKA TU .................
 
hahahaha haaa nimecheka sana kwakwelihii thread siisomi tena maana
Kuna watu wanakera sana.. Yaani matatizo yao binafsi wanataka kuyahusisha na makabila.. Alafu ajabu makabila mengine yakiua hawasemi chochote, ila akiwa yeyote wa Kaskazini utasikia ndio walivyo, ndio kawaida yao. Hivi yule Housegirl aliyechinja kule Sinza ni Mpare au Mchaga?? Angekuwa ni Mpare au Mchagga tusingepumua humu
 
Watoto baadhi wapo Australia wanasoma na wanaishi kwa dada yao yule aliyetoaga speech kwenye msiba, Esther Msuya. Kama waliwakana kuwa hawatawasaidia watoto wa kaka yao inakuwaje wapo nao huko?
Aliyeko Australia ni 1 saimon na huyo aunt yake aliyekuwa anakaa huko ni joyce na sio ester na alisharudi Tanzania siku nyingi saimon amepanga nyumba huko Australia
 

Mangi vipi aisee...

Mbona povu jingi asubuhi na mapema hivi...?

Umepungukiwa hela ya bia nini?

😀
 
Punguza jazba mkuu hapa huu ni umbeya tuu in fact hakuna rewards yeyote


Mimi na wewe hatujui inawezekana ni kweli na inawezekana pia ni uzushi.

Pia mke wake Erasto kuhusika kwenye mauaji inawezekana ni kweli au hausiki hata kidogo.

Tusihukumu kwa hisia bali tuhukumu kwa facts
 
nashangaa sana na unakuta wengine wanaosema hivyo wake zao ni makabila hayo na wao ndo chachu za maendeleo yao ......... wanafikra za kizamani sana
 
sina jazba wala nini ......

naandika nikiwa na tabasamu pana tu
japo wauwaji wapo huko huu uzi una mafunzo kadha wa kadha ....................
 
nashangaa sana na unakuta wengine wanaosema hivyo wake zao ni makabila hayo na wao ndo chachu za maendeleo yao ......... wanafikra za kizamani sana
Hao wanaosema hivyo ni wale walioshindwa kuwapata wanawake wa huko.. Sizitaki pichi hizi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…