Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Nimekusoma pengine hilo tishio la bastola ilikuwa ukiri kama unatembea na Erasto. ...ama sivyo.
 
Nimekusoma pengine hilo tishio la bastola ilikuwa ukiri kama unatembea na Erasto. ...ama sivyo.
Nope..... Niseme namemletea Na nawafahamu wanawake zake of course dakika hiyo walikuwa 3 kwenye vyumba tofauti hotel hiyo Na walinzi ndo walikuwa wanajua hizo habari mimi nilikuwa mtazamaji Na nilikuwa naona kila kitu as a manager nilikuwa nalipwa hesabu za vyumba kila siku kama 7au nane Na hela za zaidi.... Hahaha
 
Pesa za madini ....watu kutolewa kafara na masikini zeruzeru wetu wanavyo teseka! Acha tu! Malipo ni hapa hapa duniani. ...MWENYE ENZI MUNGU ATUONGOZE MILELE
 
Pesa sio shetani,hilo namtetea shetani sio pesa kivipi?....kwanini utawale pesa au kwanni pesa ikutawale? Jibu unalo na sio shetani!!! Sawa Mr ngege john
NAKUBALIANA NA WEWE KABISA .....Amen
 
Mkuu wenzetu wameona na wanaona umuhimu wa kufunza watu wao forensic investigation and not virungu ngumi investigation
 
Mkuu umeongea ukweli wote hapa istoshe mawe ya lemakoo ndio yalimyanyua mpka akajenga sg hotel.baadae ndio akaanza kupata mawe ya bomu kutoka tanzaniteone ambayo ndio yalimuweka juu kiuchumi...watu wanaongea hapa ila kiundani hawajuikua jamaa kapambana sana kimaisha ingekua hela yke inashida cdhani kma hiyo mali leo hii ingebakia
 
Hayo ni maagano ya familia yao ya wasuya wala mama saimon hakushiriki ni kweli antuja alikuwa anatembea na kaka yake na hayo maagano yao itakuwa wanayaendeleza ndio maana wanakufa na wewe chunguza tarehe aliyokufa erasto ndio aliyokufa anathe
Duh. ...hii kali Walahi
 
duuuh
 
Huyu ni ndugu wa marehemu, subiri mali ndio mumchinje mwenzenu kama kuku, nenda kamteteee police Sasa, na wewe utakuwa mmojawapo
 
hata kama ni mimi ndugu wa erasto nisingekubali mali za ndugu yangu ziliwe na mwanaume mwingine....Hizo mali za erasto zirudi kwa ndugu zake pamoja na watoto wake ...mama saimoni aende akatunzwe na huyo mume wake mpya
Kabisaaaaa arudishe mali, ziwekewe watoto, yaani limwanaume lingine ndio lije lifaidi mali ya mwenzake.alafu na wewe tukuulize ulijuaje house gal aliitwa Chemba, na umejuaje hayo mambo yote ya familia ya kina msuya yanayoendelea na wakati hamko karibu na ndio maana hata kwenye msiba hamkwenda nyie ndugu wa mke. Inamaana nyie ndio mnaofutilia hii familia Kwa ukaribu.police shikeni hii mtu ikaisaidie police bwana
 
inapaswa uelewe kuwa hii familia tayari ina visasi na mke wa marehemu, kama kuna mengi yanaendelea kugombea mali upande mwingine kutoridhika, yawezekana huyo mama hakwenda kwa sababu ya ugomvi, vaa viatu kama umeolewa kwenye familia kama hii ungrfanyaje. Kumbuka binti anapoolewa kaka yake alikuwa hai, marehemu kipenzi cha kaka na familia wewe ni mke, upende husipende kulinda familia wanao utakuwa mstari wa Mbele kushiriki kwa upendo hata wa kinafiki, si husiki si wajui, najibu kwa logic za matukio na muendelezo wa taarifa
 
Inasemekana huyo mschana ANETH alimchukua kwa Mamaake Mzazi ndio alikuwa anafanya hapo
 
Acheni mfume dume, hivi mnamaana wanawake hawana power za mali katika familia? Kuna wanaume wangapi hawana Uwezo wake zao ndio wanaowafichia siri wakiwaweka Mbele na kuwanyanyua waume zao? Lazima tafakari ifanyike, alipoelewa kuna kilichokuwepo, hicho ndio haki ya kuzungumza tena labda, baadae ni mali ya Mke, baba na watoto, hauna right ya eti hasiolewe, so what, uamuzi ni wake. Mwanamme akifiwa na mke mbona sijasikia akioa lete mali upande wa mke ukaanze upya na mke mpya.
Acheni kuunderrate wanawake bwana, wako economically fit and sound
 
Hapana ndugu ukikuta Polis wanafanya usanii basi ujue hiyo issue inamkono wa mkubwa lkn Polis wetu wakiamua kufanyakazi Utafunguka tu Believe mi
 
Erasto alikuwa anatembea Na dadake mke alijua alipoenda kushtaki familia ikamwambia atulie ndio lexus Na mapesa yanapotoka
Hii familia ina uchafu wa kutisha
Duh...kwahiyo inaonekana ni Vita ya Mke mkubwa na Mdogo...nawaambiaga watu...hakunaga utajiri bila maagano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…