Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Na baada ya kufwata mashart ya mganga ndo walitoka
We dada unamengiii unayoyajuaaa kuhusu familia y erasto...panapobidi kutujuza tujuze tu mana inaonesha bado unamengine sema unahitaji tukupe muda tu au siyooo!?😛
 
Mke wa Mjomba wangu alikuwa ni mpare. Ni mke wa ndoa na alizaa naye watoto watatu. Mke akawa mzinzi kupindukia. Akamuua mjomba kwa njia aliyojua yeye kwani alitoka mkutano AICC Arusha wakati huo akiwa IDM Mzumbe. Akafa na kabla hata ya arobaini akamleta yule hawara wa mwanaume wa Msoma ndani ya nyumba ya marehemu mjomba wangu. Mjomba mdogo alipohoji akamwambia kuwa atampelekwa aliko kaka yake. Akaahamisha watoto wa kike wawili akapeleka kwa wazazi wake upareni. Baba yake alikuwa na duka Moshi mjini (mpare). Mtoto wa kiume alibaki na mama Morogoro. Akaanza kumnyanyasa mwanaye wa kuzaa na mjoma akimwambia hana mali pale wala kitu gani, yaani mtoto mdogo maneno makali kabisa. Akazaa na mkurya mtoto mwingine akawa ni priority kwake. Yule mwanaye yaani mtoto wa mjomba wa kiume sasa kwa kukosa malezi akaingia makundi ya wavuta bangi Morogoro. Akaanza kumsumbua mama yake. Akamleta kwa mjiomba mdogo akiwa ameshaharibika. Hakuweza kusoma tena mwishowe akaingia mitaani na leo hana maisha kabisa. Mkurya sidhani kama wako wote tena. Kimbembe kikawa kinamtokea roho ya marehemu mjomba ikawa inamfuata kila mahali hasa usiku, akaona anazidiwa akaja kwa mjomba ili akamwonyeshe kaburi la mume (alimzika mume akaondoka siku hiyo hiyo hakulala kwenye msiba na baada ya msiba kwa miaka zaidi ya kumi hakurudi tena kwa wakwe hata kusafisha kaburi la mume). Mjomba mdogo hakukataa akampeleka akaliona kaburi la mume wakaondoka. Baada ya siku kadhaa akarudi peke yake akachukua udongo na vitu vingine juu ya kaburi ili kwenda kutambikia mume asiwe anamtokea tena. Ndugu zangu usiue, damu ya mtu inalia, Huwa inarudi kama si kwako basi ni kwa kizazi chako cha kwanza hadi cha nne. Binafsi yule mama aliniachia majonzi makubwa sana kwa kuwa mjomba wangu alikuwa mpole sana na mkarimu. Alikuwa ni nguzo kwa bibi na babu yangu mzaa mama. Alipokufa babu yangu alipata shock kubwa sana na hakuamka tena alilala kitandani mpaka akafariki mwaka 2000 (Rest in Peace Babu Yangu). Wapare Mungu awasamehe sana ila wengi wenu hamna historia njema kwa kuwa mmejaa ushirikina na uzinzi. Samahani sana kwa kusema ukweli. Rest in Peace Uncle 1984.
 
Ki-swaenglish
 
definitely so do I
 
Pole
 

Ukifuatlia sana na narudia tena aslimia Zaidi ya 90 huyo mama sioni sababu ya yeye kumua Wifi yake, mali ni zake alishashinda na kesi hakamuue kwa sababu gani haswa?
 
Halafu hao ndugu hawariziki kaka yao alipokufa aliacha urithi na Mali walipewa ila hawariziki wanataka Mali zote alizoacha kaka yao hawaangalii kama kaka yao ameacha watoto 4 na mjane tangu kaka yao kafa mama saimon haishi kwa raha wala amani ni kumtukana vitisho kibao na ndio maana wanakufa juzi huyo dada yake anathe Joyce kafiwa na mtoto wake wa kumzaa na huyo atasema mama saimon ndio kamuua wamuache mama wa watu aishi maisha yake kwa amani na watoto wake
 
Jamani hivi hawa wanawake KASIKAZINI(uchagani na kwingineko).....mbona wako hivi jamani....utotoni huwa wanawanlishwa madudu gani?.
Bora yeye kaishia std 7 kuliko wewe uliyesoma na kuja kutunga uongo hapa acha uongo na unafki huyo mwanaume mwingine unaye mjua labda baba yako mzazi maana mama saimon ameolewa na erasto na ndio alikuwa mwanaume wa kwanza na baada ya mume wake kufa hajatangaza ndoa sasa labda ndoa alitangaza mama yako ukamfananisha na mama saimon
 
Du pole sana mkuu naunga mkono hoja mimi binafsi baba angu mdogo alikiona cha moto kwa mwanamke wa kipare mpk alihama mji kimya kimya maana ilikua patashika kwenye ukoo huyo mwanamke .Kwa kweli wanawake hawa wachache ninaowajua wa kipare siez mshauri ndugu yangu achukue huko maana asijeangukia pua .Rafiki yangu mmoja mwenyewe mama yake ni mpare na alimkataza mwanae asijeangukia huko ktk pitapita zake.At the same time siwezi kumhusisha huyu mama kwa hayo mambo pia.
 
Sijaelewa chochote,tumia lugha ya taifa!
 
Usitukane mnduhu wangu. Vandu vashihe vatete mira kila kindu kinemanyikana
Ambura vandu veudhi sanaaaaa vekunda kugaya Mongo kangi wekelie mmaa na ni vandu vethimmanya hata vandughu vakwe twehujie chuku twethigaya chochothe kangi achwe mti tha mwana enyie dhia
 
Pole sana sasa napata picha kuh huyo Mama...
Of course mm simuhusishi moja kwa moja kwa Na mauaji ila naunga dots tu tabia zake mimi nilipewa nyumba ya kuishi Na erasto wakati nasimamia kazi zake yaani nilikuwa naishi hovyo huyu mama alikuwa ananivizia madirisha anachungulia anatuma watu Yani alinibugudhi sana acha alipe alichopanda...... [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] sitaki kukumbuka kabisaa. Kama ni yeye aumbuke maana Wafanyakazi wake alikuwa anatuletea umafya wa kimaandazi
 
Wewe unayesema mama saimon unamjua vizuri ukome hiyo ndoa aliyotangaza alikuwa anaolewa na baba yako au msipende kuongea vitu msivyovijua usikute hata humjui unamsikia kwa jina fala wewe
Mary unaukaribu wowote na mama saimon?? n kama unao jitahidi kuwaleza watu unachokijua kuhusu mama saimon mana yawezekana wanayoongea watu wengine humu ndani ni upotoshaji,labda utusaidie wewe
Nawasilisha kwako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…