Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Aisee apo yote mawili yanawezekana. Labda upande wa mume wanataka izo Mali so wanamkandamiza mke ili afungwe wakombe Mali or kuna uwezekano uyo mke kacheza dili amuuwe uyo Wifi mtu n.a. mumewe. But ukweli utajulikana tu.
 
so interesting, Tanzanians we are talking bwana, then tunatumia mdomo akili ikiwa mbali, don't you see hii ni sensitive issue na maneno yako yanaweza kukuingiza pabaya, as long as hujui hata wanasoma ni nani. Kuna shida mahali
Wacha iwe ivyoo..huyo Dada alionewaa sana Najuaa unahusikaa ndo mana unakuja kututisha hapa...Lala bwana.
 
Ana Dada Wengi Atunja au Anet!??...
 
Wanawake wengi wa KILIMANJARO na ARUSHA ni hatari sana kwa mali.
Ukienda pale arusha utakuta nyumba nyingi ni za vibibi na kina mama ambazo ni za kurithi kutoka kwa waume zao,baada ya kuhangaika sana wanakusogeza ili watafune fedha na watu wa "kununua".
 
duh inafaa iwe conclusion baada ya kesi kuisha
 
Wapepelezi wa Case hii na Ile ya Msuya hawatasumbuka Sana katika upelelezi wao, huu uzi umewapa clues nyingi Sana.

Wale wenye taarifa za ziada sio mbaya mkaendelea kuzimimina humu.
 
Uwiii mali ndio zinapelekea hadi kumuua mwenzio kinyama vile?
Kugawana mali inawezekana,kwanini mtu asizungumzie kugawana mpaka aue?mwishowe wote hawatazila hizo mali,wamachame wameacha wapare ndiyo hatari.
Inakuwa hadithi ya"MTAKA YOTE KWA PUPA,HUKOSA YOTE"
 
Duuuh, kama ni kweli basi kazi ipo...
 
Muosha nae kaoshwa
 
Usipotoshee ile Ni mambo ya serikali ilikuwa planned..hii Ni Private..wapo makini
 
Mana kwenye Pesa na Mali ata nduguyo wa damu anaweza kukufanyia unyama sio mke peke yake. So tusimkandamize uyo mama sana ukweli utajulikana tu.
 
Wanawake wa kipare ni nouma, si hata yule mpare mke wa Mbereselo wa Ngorika kaachika, sasa kakamata kichwa kingine anakinyolea huko Singida, kichwa kimeacha mke na watoto wawili, ni sheeder chezea mmea wa Rundugai
 
Hahaaaaa usiwaogopee mpwaanhutowooowaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…