Mapya yaibuka mauaji ya Aneth Msuya

Kinachoongelewa hapa ni kifo cha Dada msuya sasa naona wachambuzi Wa utajiri wake alikoanzia wametia timu.
Wamesahau kwamba mafaanikio ya NTU ni siri yake na Mungu wake
 
Yaani ukiunga dots unapata hayo majibu,
Wanawake nyinyi watu wabaya sana aisee, si ajabu hata Mungu alituasaga tuishi nanyi kwa akili sana
 
Aiseeeee huwezi kujua wanawake wanataka au hawataki nini sasa hg kamtaja mke wa msuya kama mshiriki wa mauaji na fukuto linasema walianza kugombea Mali na kuna tetesi nyingine sitoiweka hapa
Jamani kaka sema basii
 
unapokuwa mjinga lazima na action zako ni za kijinga tu. Watatiwa nguvuni kama sisimizi shimoni
Unajua HG alijua siku ile akibaki ndani naye angeuwawa ndo mana Alikimbiaa kosa lake pamoja Na kutishwaaa angekimbilia police lkn ajabu Mpaka siku ya mauaji aliingia ndani ya fensi.Aneth akamuona akamwandikia sms Mama yake..(Ilo nalo Ni kosa angeomba Msaada kwa mahitaji)halafu mama akafuataaa(Funzo kwetu Ni nini?tusiwaunderstimate Watu wa chini yetu..kwa kuwa Ufahamj Elimu hana HG alitumika bila kununua Na si ajabu naye Angepotezwa kama muuaji aliweza kumuua Aneth Hg ingekuwa Sekunde(Swali Je HG alipandikizwa Muda??Maana inasemekana alikuwa mfanyakazi wa Mama ake Anate wa Muda mrefu sana..Hata siku Anate analalamika msichana kwa kuwa alikaa Muda mrefu Na Mama ake Mama akaona Amsafirishe huyo huyo Getu(This was very sad incident In this year to me)So Tragedy.
 
Huna kapicha kake inaonekana Ni mzuri sana.
 
Mbona haueleweki jamani hebu rekebisha makosa
Nyiee mnaboaaaa..kama hamuelewi.mbona.mnachangia..ingekuwa walimu.Shida sana.Jari content mbwembwe achana nazo.Mmeelewa sana..kutaka kuonyesha mnajua.kukosoaaa
 
Every crime leaves a trail of evidence!
 
uwiii kati ya matukio ya mauaji ya kijinga niliyowahi kushuhudia ni hili...walishindwaje ata ,kumzimisha beki taraa na kumfunga vikamba vya uongo na ukweli....elimu elimu elimu!!! wacha anyee debe kubwa jinga shenzi kabisaaa
Mungu alipanga kuwaumbuaa .Yoote hayo walipanga mwishoni wakajisahau wakamwamuru aache kazi..Mara tena wakamwamuru ampigie simu mama Ake Anete aseme alitekwa. That is Power of God.
 
hashindwi yule mama kanasura ya ukatili khaaaaaaaaaaaa
Picha yake..Ni pm basi ili nijue tu pic yakee..Story za mauaji Ni nyingi ila hii ilinivunjaa Maini yoote.Nilijiuliza why nimekuwa so taken Na hii ishu..ila Sasa.nimejua sababu....
 
hata ivo mtuhumiwa wa ile kesi ya mauaji ya erasto msuya alifutiwa mashtaka ya mauaji hayo na DPP kwa wkati ule elieza felishi.ila malipo APA APA duniani naamini kwa wakati huu ao waliohusika kwa aneth sheria itafanya kazi yake
 
Kweli kabisa.Iyo Ni nguvu ya Mungu kuwaumbua..mm napenda Picha Zao ziwe wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…