Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

hivi tunapigania ni nini? Kama ni mkate mbona umeoza au hamuoni?
 
Huyu MWIGULU NCHEMBA Ndiye muhusika wa masakata yote,tukianzia la ULIMBOKA MPAKA LA KIBANDA na kama mnataka kuamini hili mara baada ya kuumizwa ULIMBOKA akakabidhiwa Cheo kikubwa tu CCM Kama shukurani kwa kumaliza mgomo wa madaktari kwa sakata la Kumuumiza ULIMBOKA.Hivyo polisi inapaswa imkamate huyu mtu ili asaidie upelelezi.
 
Mwingulu mchemba ana tabia za kishamba, mtu kama mwingulu mchemba angekuwa kwenye nchi za falme za kiarabu adhabu yake ingekuwa ni kunyongwa.maana kule hakuna upumbavu.huyu jamaa ni mshenzi na mjinga.anajisifu ni msomi ila hana usomi wowote maana hata ukiangalia akiandika english hajui tenses, hajui singular wala plural, hajui presents, past, wala future. .anaandika English mbovu kama form four hawa wa shukuru kawabwa walioketa zero.
 
Hizo ni njama kuichafua cdm. Inakuaje kanda za vikao vya ndani cdm kupatikana kwa nchemba mwenye maslahi kuimaliza cdm. Kwanza kabisa polisi wamkamate nchemba ili aeleze ni kwa jinsi gani alivyoweza kupata kanda hizo? Kwani kisheria CCM inaruhusia kupiga video kwa siri mikutano ya ndani ya vyama vingine? Ama Nchemba na wenzake wanadhani kua viongozi ndani ya chama tawala wanaweza kua mbadala kwa vyombo vya usalama vya dola?!
 
Kwa namna moja au nyingine, CDM inahusika na hizi tactics za utekaji. Wengine mnasema feki, wengine mnasema siyo feki ila alirubuniwa na wengine mnasemna siyo kosa kujadili.

WTF???

Sio hivyo tu, wanahusika na kupanga njama za kubomoa majengo Dar es Salaam hao.
 

mkuu kumbuka ndani ya chadema hivi sasa kina mgogoro wa ndani kwa hiyo siri zake kuvuja ni jambo linalotegemewa sana. Pili fahamu hili ni suala la ujasusi kujua mbinu ovu za adui yako dhidi yako ni muhimu sana...mwigulu anafanya sahihi kuumbua mipango dhalimu ya adui yake
 

Funguka usiwe unakurupuka kama umeshikwa na haja..Gazeti Mtanzania, You trust it? Wewe ni rahisi sana kuamini kila kitu pasipo kukielewa na kukifanyia utafiti...Funguka....Shauri yako..pwani watu kama wewe zamani wana kanga kiunoni wapo jikoni wanawaandilia ............................
 
Hii movie itaanza kuzoeleka soon na kupoteza umaharufu uliokusudiwa,nashauri m bongo movie mwigulu aongeze ubunifu!
 
hivi leo tarehe ngapi vile? siyo siku ya wajinga hii? leo tutadanganywa sana!
 
cdm haina mgogoro ila ni mkakati wa ccm kupandikiza mgogoro cdm, mkakati ambao bado haujafanikiwa ila ccm wanajifanya kama tayari.
 
ndoto za mchana hizo. Subiri uwaone mitume wenu mbowe na Slaa ndani ya karandiga.

Kwenye karandinga alikaa Mandela ndio itakuwa Slaa na Mbowe. Ukiona viongozi wazalendo wanaanza kuwekwa jela tambua kuwa ukombozi umekaribia. Do you know why?

Ni pale tu serikali inapoturn into dictatorship ndipo jumuia ya kimataifa inaanza kuitupia jicho la karibu na viongozi wanaopinga uovu wanapowekwa ndani ndio The Hague inakaribia kwa watawala waliopewa uongozi na wasoma nyota kama SHEHE MAREHEMU YAHYA HUSSEIN.
 
 
Hii video ya utekaji imeichafua Chadema sana chama kimepata pigo sana.

Vitu vya kusingizia haviwezi kuchafua chama au mtu, tazama Yesu alisingiziwa mambo mengi na akahukumiwa kufa, leo hii ndiye aliyepewa mamlaka yote mbinguni na duniani, hakuna jina lingine lolote duniani unalolijua wewe na usilolijua wewe lenye nguvu kama jina la Yesu.

Vitabu vyote vinavyotumika kutupia watu majini ili waharibikiwe vikisikia jina la Yesu vinanyamaza kimya!!
 
ikulu ni mahala patakatifu haiwezi kukaliwa na magaidi...mtaishia kuichora chini

Duniani kote tunajua magaidi ni akina nani. Vitendo vinavyofanyika sasa hivi vya kung'oa watu meno na vinavyofanywa na mtu mwenye jina la kwanza Ramadhani vinaashiria kuwa kuna ugaidi unaendelea nchini.

Si unajua jinsi majina ya namna hiyo yanavyoshtukiwa na wamarekani, sasa sisi viongozi wetu wote top brass majina yao ni hayo hayo, najua marekani wanawaangalia watu hawa kwa makini sana.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…