Hela za Swiss pembeni, EPA, wanyama wetu kuibwa hadi kupitishwa airport, Tembo kuwawa na bado wanaendelea kuwawa, serekali yenye vituko kuliko serekali yoyote duniani kote inayowanyanyasa wananchi wake bila kosa, kuwaua, kuwaadhibu na hata kuwawekea upofu wa maisha, mikataba feki kama hiyo 19 iliyosainiwa juzi tukaambiwa itawekwa wazi ndo wameishia mitini. Where are we going? Watanzania tuamke wote tuseme enough is enough, ona majirani zetu wakenya wasivyopenda mambo ya kuhisi kama watz na hawa wenzetu ndo wametuacha hivyo. Tusipoamka serekali hii ya kigaidi na yenye kuwanyanyasa wananchi wake itatumaliza sote. Tuchukue hatua. Pasaka njema