master gland
Senior Member
- Apr 3, 2012
- 198
- 60
Hiki ni kipimo cha mwisho kabisa kwa CDM kushika dola. Wamejaribu kulaghai watu CDM ni ya kifamilia hawajasikika,KASKAZINI wameshindwa,wakaja ni cha kidini(wakatoliki ) hawajauzika na sasa ni chama cha kigaidi nadhani itapita tu .
Mbinu zote wamejaribu wameona bora waitumie hii ili kuwagombanisha ndani na nje ya nchi .
Thanks to GOD mipango yao yote inafahamika mapema sana kabla hawajaitekeleza.
WANA CDM HAKUNA KIPINDI KIGUMU CHAMA KINAPITIA KAMA HIKI KWA PAMOJA TUONGEZE UJASRI KWENYE MPAMBANO HUU. MUNGU YUPO NASI