Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Mapya CHADEMA, video zaidi zanaswa

Na wewe upo kinini?

Naangalia kitu kimoja HAKI, siasa baadaye!!!... Kitendo cha shehe ILUNGA kuchochea machafuko na kuachwa mtaani wakati kua watu wamepigwa risasi baada hukumu yake ni fedheha kwa taifa na dhihaka kwa wakristo!!!
 
Dah leo Mbowe amemfunika vibaya sana Pinda pale taifa, naona kama hizi single hazijalipa kabisa sijui nini kifanyike, ccm wanahitajika kubuni njia nyingine hizi za kimafia zinashindwa vibaya
 
SASA RAISI WANGU HAPA TUKO PAMOJA!!!.. Hiii ni hoja OBJECTIVE!!!

sawa ila mkuu kumbuka hii nchi tumekuta watu wameipigania na wengi walipoteza roho zao na wameifikisha hapa tulipo.. kumbuka rwanda waliuana kwa chuki za kikabila, israel na palestina hadi leo wanauana kwa chuki za kidini....tuulinde umoja na mshikamano wa tanzania...wanansiasa wataondoka na vyama vyao tanzania itabaki.......tupinge kwa nguvu zote yale yanayoharibu udugu baina yetu
 
Sipandi chuki za kidini ila nasema kutenda haki ni muhimu!!!!... Shehe ILUNGA AKAMATWE!!!

sijapenda sana aina yako ya uchangiaji hapa unachefua mbaya unaonekana mdini sana wewe.....anzisha mada kuhusu huyo ilunga tutachangia....acha udini mkuu,,, ni chuki mbaya sana hiyo..laana
 
kuna watu wameichoka amani iliyopo hapa tanzania wanatamani tuuwane kwa lazima..hii ni hatari sana
 
ASANTE!!!... NAPINGA DOUBLE STANDARDS ukisema fulani ni gaidi na ukawa mkali kweli basi tukuone ukiwa mkali kwa watu wote unaowaona kuwa ni magaidi!!!...
...HUWEZI UKAMSIKIA MTU MMOJA ANATANGAZA HUKUMU YA KIFO KWA WENGINE ukanyamaza kimya walengwa wakauawa huonyeshi jitihada za kuridhisha, .. lakini ki-CD uchwara cha kiitikadi unakomaa na kutisha watu!!.

Kama umesikia hotuba za maaskofu za pasaka umenielewa ninacho sema!!... Kwangu haki kwanza vyama baadaye!!

Hawa maaskofu nao wanshangaza,watu wengine wakiuwawa wanawapongeza wauaji,wakiuwawa wengine wanapiga kerere, au kuna watu wan haki zaidi ya kuishi kulioko wengine?

Hawa wanaoitwa Maaskofu ndio watakaoipileka nchi hii kuzuri tunakokupenda watanzania.Subiri tuone
 
Dah leo Mbowe amemfunika vibaya sana Pinda pale taifa, naona kama hizi single hazijalipa kabisa sijui nini kifanyike, ccm wanahitajika kubuni njia nyingine hizi za kimafia zinashindwa vibaya

mkuu anzisha mada hiyo tuchangie separate, itapata watu sana
 
wazeehusema kama hujui kufa tazama kaburi, ndio msemo unaotufaa sana humu jukwaani
 
Naangalia kitu kimoja HAKI, siasa baadaye!!!... Kitendo cha shehe ILUNGA kuchochea machafuko na kuachwa mtaani wakati kua watu wamepigwa risasi baada hukumu yake ni fedheha kwa taifa na dhihaka kwa wakristo!!!

Paroko wa Mburahati aliyeamrisha mauaji ya Mwembechai amekamatwa,na yule askari aliyekuwa nasema pale mwembechai piga yule,piga yule amekatwa,Mkapa na Mahita walioamrisha mauaji kule zanzibar wamekamatwa, au wenye makosa ni Ilunga na Lwakatare tu.

Watanzinia tuache ujinga wa siasa za maji taka
 
sawa ila mkuu kumbuka hii nchi tumekuta watu wameipigania na wengi walipoteza roho zao na wameifikisha hapa tulipo.. kumbuka rwanda waliuana kwa chuki za kikabila, israel na palestina hadi leo wanauana kwa chuki za kidini....tuulinde umoja na mshikamano wa tanzania...wanansiasa wataondoka na vyama vyao tanzania itabaki.......tupinge kwa nguvu zote yale yanayoharibu udugu baina yetu
Nimeipenda hii, taifa kwanza vyama baadae, dini zitaendelea taifa likiwa na amani, mtu yeyote mdini ni afadhali ya mchawi Kuliko yeye..
 
Paroko wa Mburahati aliyeamrisha mauaji ya Mwembechai amekamatwa,na yule askari aliyekuwa nasema pale mwembechai piga yule,piga yule amekatwa,Mkapa na Mahita walioamrisha mauaji kule zanzibar wamekamatwa, au wenye makosa ni Ilunga na Lwakatare tu.

Watanzinia tuache ujinga wa siasa za maji taka

Safi saana unaileta vizuri sura yako ya UDINI!!!!!! .....ugomvi wenu na serikali msiugeuze kuwa ugomvi na dini ya kikristo... ILUNGA Ametoa hukumu wakristo wauawe!!!... Sisi tunaitaka serikali maelezo kuhusu hili!!!... Hatugombani na Waislamu!!! Tunaitaka serikali itende haki!!!
 
Paroko wa Mburahati aliyeamrisha mauaji ya Mwembechai amekamatwa,na yule askari aliyekuwa nasema pale mwembechai piga yule,piga yule amekatwa,Mkapa na Mahita walioamrisha mauaji kule zanzibar wamekamatwa, au wenye makosa ni Ilunga na Lwakatare tu.

Watanzinia tuache ujinga wa siasa za maji taka

lwakatare na ilunga hawawezi kuachwa kwa sababu hao waliachwa...nao wanapaswa kuwajibika
 
Hawa maaskofu nao wanshangaza,watu wengine wakiuwawa wanawapongeza wauaji,wakiuwawa wengine wanapiga kerere, au kuna watu wan haki zaidi ya kuishi kulioko wengine?

Hawa wanaoitwa Maaskofu ndio watakaoipileka nchi hii kuzuri tunakokupenda watanzania.Subiri tuone

SHEHE ILUNGA!!! aliyetoa hukumu wakristo wauawe anaitakia mema nchi?!!!!...
 
pumzikeni na siasa dadadadeki zenu.....bug up kwa alberto lwehumbiza kula hizo totozi zikiingia nga zako arifu...mange hajawahi kupigwa katerero anahaha sasa hivi....
 
sijapenda sana aina yako ya uchangiaji hapa unachefua mbaya unaonekana mdini sana wewe.....anzisha mada kuhusu huyo ilunga tutachangia....acha udini mkuu,,, ni chuki mbaya sana hiyo..laana

Suala la ILUNGA kukamatwa ni kubwa kuliko CD zozote za MWIGULU NCHEMBA!!!!.... Sisi imani yetu hairuhusu kulipa kisasi ila kusema ukweli!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom