Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Wakuu heshima zenu,

Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya kama siku 2 ili nipumzishe hii akili.

Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri.

Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green, pakiwa na bwawa la kuogelea itakuwa poa sana.

So Mwenye idea na maeneo tajwa msaada wako ni muhimu kwangu na kwa wana JF wengine

Karibuni.
Njoo Maweni farm hutojutia
 
Am business man, so traditionally when I travel leisure component ni muhimu sana kwenye package yangu, this revives me back to life of Eden, it's my choice, it's my life, it's my taste, it's my choice wewe endelea na gospel singing pia ni soft recreation.

Siwezi kwenda Irente View Point bila demu never, climatic condition ya Lushoto bila demu utakuwa na uzuzu fikirishi sana.

Usikasirike nimekupa tu upande wa pili wa utafauti katika maisha. Leisure travel means leisure travel, bring back urself to life with productive energy.
Si kwa baridi ile
 
Inabidi uwe mtu wa ku-appreciate nature na utulivu ndio utapapenda. Ila kama mtu wa vibe sijui vurugu vurugu si mahali pako.

Hayo ni maeneo pendwa ya sisi wapenda kupiga picha mandhari...

20221209_180946.jpg

20221209_180229.jpg
 
Back
Top Bottom