Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Daah napenda nature sana.
Mkuu umewahi fika ziwa Natron?
Uone milima Oldongo lengai?
Kutoka ziwani upande kona 18?
Ujiwa juu mlimani utazame lake view ya Natron?
Aaah
Mimi nature ni kitu kinachonipa utulivu wa moyo. Nikiwa na uchovu wa kazi au kichwa kimevuruga na viumbe wa Mungu huwa napenda kukaa sehemu niangalie bahari au miti. Mazingira ya kijani yananibariki sana moyo wangu
 
Tatizo lako nawe hubanduki baharini...aaah badilika🤣
 
Mimi nature ni kitu kinachonipa utulivu wa moyo. Nikiwa na uchovu wa kazi au kichwa kimevuruga na viumbe wa Mungu huwa napenda kukaa sehemu niangalie bahari au miti. Mazingira ya kijani yananibariki sana moyo wangu
Trip yangu ya kwanza Natron hakika nilitokwa na machozi ya furaha nilipoona umaridadi wa uumbaji....
Kuna mawe mazuri..
Milima na mabonde.
Ndege ziwani aaah nyie Mungu fundi bhana
 
Tatizo lako nawe hubanduki baharini...aaah badilika[emoji1787]
Napenda bahari rafiki ila huko kusipokua na bahari naenda pia ila kuwe na mazingira ya maji pia..

Kama hapa hamna bahari ila palinibariki
20221204_075203.jpg
 
Nature saves life, unapofika kwenye nature kunakua na mind development ndio maana nature inatunzwa kwa gharama kubwa lakini wale wenzangu wa live band, kitambaa cheupe huko usitupeleke kabisa bora kwa shishi food nikapige kisinia outing imeishia hapo
 
Back
Top Bottom