Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Exactly for the past 7 days nilienda shamba kwangu, very quite jirani kuna Forest Nature Reserve nzuri sana.. Unaamka asubuhi unatembea msituni very cool, milio ya ndege, mbega, ngedere kibao... Yaani so exciting... Jioni shambani unakula maembe fresh from the trees, Nanasi fresh, Mafenesi fresh... Usiku nje mbalamwezi safiii... Yaani kiukweli ni total refreshments na ukirudi akili imechaji vya kutosha kabisa, and full prepared na mishe mishe za town.
Daah umeni inspaya sana mkuu.
Hayo ndio maana ya mapumziko.
Mwili umepumzika...no sex
Akili imepumzika...hakuna kufikiri mambo magumu.
Safi sana
 
Wabongo kwanini mapumziko lazima uwe na demu?
Huu sio ulimbukeni kweli?
Sex ni sehemu ya mapumziko kwa mtu aliyechoka mwili na akili kweli?
Hatuhitaji kubadili mtazamo kweli?
Nimeuliza tu mkuu.
RRONDO tia neno bro
Uko sawa yani zaidi ya sawa rafiki...wabongo na ngono kama mswaki na dawa ya meno
 
_20230108_073255.JPG

Hapa ni swiss farms
 
Jamani nyie [emoji14][emoji848]

Tatizo lenu mnataka wanawake wanaoji-expose lakini wanaojua kujisitiri hamuwaelewi wakati kwa mwerevu hao wanaojisitiri ndio wenye kufaa sana!
Hiyo nakataa Lushoto hakuna babies bwana.
 
Hiyo ni sehemu ya kwenda kupata beverage humo ndani pazuri usipaone ivyo

Nakumbuka hapo nilikutana wazungu Kama 6 pamoja muhindi mmoja alikuwa jirani ya nyumba inayofuata aliagizwa mbuzi mzim akasafishwa safi kabisa wakatutolea jiko hapo nje unaposema kanisa wakatuwekea na meza kubwa tukawa tunachoma nyama huku tunapiga stori taratibu tunasindikizwa na vinywaji safi kabisa ....! Hapa ndipo nilipata connection ya kazi yangu ya sasa
Nimependa hapo mwishoni [emoji4][emoji4][emoji4]
 
Wabongo kwanini mapumziko lazima uwe na demu?
Huu sio ulimbukeni kweli?
Sex ni sehemu ya mapumziko kwa mtu aliyechoka mwili na akili kweli?
Hatuhitaji kubadili mtazamo kweli?
Nimeuliza tu mkuu.
RRONDO tia neno bro
mtu unaweza kusema unataka ukapumzishe akili na wakati kumbe akili zenyewe wala huna.!!!
 
Back
Top Bottom