Mwamba028
JF-Expert Member
- Nov 15, 2013
- 4,649
- 3,818
Wakuu heshima zenu,
Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya kama siku 2 ili nipumzishe hii akili.
Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri.
Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green, pakiwa na bwawa la kuogelea itakuwa poa sana.
So Mwenye idea na maeneo tajwa msaada wako ni muhimu kwangu na kwa wana JF wengine
Karibuni.