Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Wewe mzee kwenye fursa za kupata posho tena ukose? Nilitaka nishangae
Teh teh ,kweli mwanzoni tuliingiaga hko roots&shoots,friends of usambara kwa ajili ya michongo tu,ila badaye ikaja passion,kitu kukipenda,kujitolea

Ova
 
Acha kabisa ndio maana mazingira ya namna hiyo hata magonjwa ya ajabuajabu hayapo halafu watu wanaoishi mazingira cool kama hayo hawazeeki haraka na wanaishi muda mrefu, eneo liwe na ukijani, kibaridi fulani hivi halafu kuna cracks za ndege tu hata chakula kinashuka njoo jiji la dar ukiwa unakula unatokwa jasho kama uko vitani unaandaa makombora,
Mazingira ya matter sana,hata ile korogwe juu kule,ukipandia msambiazi kuelekea lutindi mission
Kna mazingira safi sana
Ule ukijani dah....
Kuna wakati mm nlikuwa naweza kukaa tu mbele ya mashamba ya chai
Naangalia ule ukijani,aise naonaga burdan sana

Ova
 
Ukija kufahamu kuconnect na nature hutotamani kelele za simu wala fujo za net huko ni kula, kushangaa mazingira, kujisomea vitabu na novels mbalimbali, yaani unaflash kichwa unatoka ukiwa mpya kabisa, unapata muda wa bites, soft drinks, wines, na kadhalika usisahau choma za samaki au nyama hata ngozi inakua na nuru kabisa
Kuna tajiri yangu mmj mdosi yeye ana beach house iko kama unaelekea pemba mnazi,yeye akiendaga hko sim,zote anazima
Yeye huko ni kusoma vitabu tu hataki disturbance

Ova
 
Mrangi iwepo fursa ya pesa akose? Muulize kama walikua wanajitolea au vipi
Mkuu mwanzoni tuliingia kimchongo
Si unajuwa zile safari za nje watu wengi walisafiri kupitia hayo makundi
Kama mwanachama,ila badaye tukawa wakweli
Mfano mwaka jana fukwee hii nlipanda sana mikoko kujitolea tu
Pesa unayopewa ni ya kawaida,sema kuna priorities fulani unakuja kupata
Badaye,

Ova
20221218_103400.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwahiyo ulikuwa hunioni jamani[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio nilikuwa najisemea huyu siku hizi mbona amepotea jf
Halafu eti hii id nilikuwa naiona ila sikujua kama ndio wewe
 
Bei ya irente ni
Single ni $60 na double ni $80. Pigs simu namba 0784866877 kwa mawasiliano zaidi.

Halafu kuna hostel za Lutheran pia hapo mjini. Nao wako vizuri na chakula Chao kiko poa
Thanks dear
 
Huo ni uongo nimeshatembelea Lushoto twice lakini hakuna hata watoto wazuri, labda ukutane na demu mgeni naye kaenda mapumzikoni.



Jamani nyie [emoji14][emoji848]

Tatizo lenu mnataka wanawake wanaoji-expose lakini wanaojua kujisitiri hamuwaelewi wakati kwa mwerevu hao wanaojisitiri ndio wenye kufaa sana!
 
Wabongo kwanini mapumziko lazima uwe na demu?
Huu sio ulimbukeni kweli?
Sex ni sehemu ya mapumziko kwa mtu aliyechoka mwili na akili kweli?
Hatuhitaji kubadili mtazamo kweli?
Nimeuliza tu mkuu.
RRONDO tia neno bro
Akili ya wabongo moja mademu, pili ulabu [emoji23] [emoji23]... Hii ni mentality ya ajabu sana aisee
 
Wengine ni aged kabisa lakini wamekua na mtazamo wao potofu.
Hakuna mapumziko bora kama ukiwa mwenyewe.
Exactly for the past 7 days nilienda shamba kwangu, very quite jirani kuna Forest Nature Reserve nzuri sana.. Unaamka asubuhi unatembea msituni very cool, milio ya ndege, mbega, ngedere kibao... Yaani so exciting... Jioni shambani unakula maembe fresh from the trees, Nanasi fresh, Mafenesi fresh... Usiku nje mbalamwezi safiii... Yaani kiukweli ni total refreshments na ukirudi akili imechaji vya kutosha kabisa, and full prepared na mishe mishe za town.
 
Am business man, so traditionally when I travel leisure component ni muhimu sana kwenye package yangu, this revives me back to life of Eden, it's my choice, it's my life, it's my taste, it's my choice wewe endelea na gospel singing pia ni soft recreation.

Siwezi kwenda Irente View Point bila demu never, climatic condition ya Lushoto bila demu utakuwa na uzuzu fikirishi sana.

Usikasirike nimekupa tu upande wa pili wa utafauti katika maisha. Leisure travel means leisure travel, bring back urself to life with productive energy.
Kwa hiyo wazungu na hili barafu mpaka wanakufa ina maana muda wote wako na mademu? [emoji12] Ukweli utabaki kuwa wabongo mentality zetu ni mademu na ulabu, sikiliza hata stories zao na nyimbo zao..
 
Back
Top Bottom