NdioSwiss farm cottage hapo
Asee utainjoi sanaEbana safari imeanza 11 asbuh na muda huu ndo napandisha kilima cha lushoto wadau
Asante kwa feedback. Nipo kwenye situation kama yako. Nina road trip ya Dar Lushoto Moshi Arusha Kondoa Dom Dar.Niko Muller Mountain Lodge
Kaka hebu nipe abc za Lushoto, nimewahi kwenda zaman kidogo 2010, nilipapenda nafsi yangu inanisukuma kwenda kuishi huko, cha kwanza mazingira na hali ya hewa ilinivutia, ni miaka mingi sasa, sijui pamebadilika kiasi gani ila bado nina shauku, bei ya viwanja inaweza kufika gani kwa wastani… sio mjini kakaKaribu my home town ukikwama lolote nicheki