Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Ukija kufahamu kuconnect na nature hutotamani kelele za simu wala fujo za net huko ni kula, kushangaa mazingira, kujisomea vitabu na novels mbalimbali, yaani unaflash kichwa unatoka ukiwa mpya kabisa, unapata muda wa bites, soft drinks, wines, na kadhalika usisahau choma za samaki au nyama hata ngozi inakua na nuru kabisa
Bila kusahau kusikiliza mziki unaoupenda
 
Hapo nimeenda kipindi cha joto. Wenyeji wanasema mwezi wa sita maji kwenye mabomba huwa hayatoki [emoji2] mpaka wamwagie bomba maji ya moto.
Haha yani ni shida mkuu usiku ukilala ukijifunika blanket au chochote usije thubutu kujinyoosha yani ni utaanza upya kulitafuta hilo joto ulilolikusanya kwa tabu hautaamini
 
Wakuu heshima zenu,

Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya kama siku 2 ili nipumzishe hii akili.

Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri.

Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green, pakiwa na bwawa la kuogelea itakuwa poa sana.

So Mwenye idea na maeneo tajwa msaada wako ni muhimu kwangu na kwa wana JF wengine

Karibuni.
Akili zenyewe unazo?
 
Mwamba nenda Lushoto hutajuta kamanda na usikose demu ukifika utapata raha zote kafikie pale kakakuona resort hotel, sehemu zipo nzuri hasa adventure, nature view, good look, Utalii wa mandhari patamu sana, Usikose kwenda Pale Masaki, Lawns hotel kwa nyama choma.
Nakubali mwamba, kwenye demu apo niende nae au ntaopoa kule kule??[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nakubali mwamba, kwenye demu apo niende nae au ntaopoa kule kule??[emoji16][emoji16][emoji16]
Mademu wa kisambaa wapo kitaa, ila pia milipo ipo usiku usiku pale Masaki na wale wa kitaa pia, halmashauri ya lushoto pale town padogo sana, ila mbusus za kutoka mlalo na anga zingine zipo mzunguko wa Tanga Lushoto ni mkubwa sana hakuna uhaba wa mbususu, ukiwa mdosi pesa ipo matumizi kama elfu30-40 kwanye bia mapema sana unapata shoo ya kisambaa na hapo Lushoto Mamluki wa mikoa mingine sapo kibao usiku
 
Back
Top Bottom