Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,864
Na ndo raha ilipo. Unaangalia nature na Windhoek baridi sana mkononi
Na ndo raha ilipo. Unaangalia nature na Windhoek baridi sana mkononi
Ni ulaya iliyopoozaLushoto ni kama ulaya man
Mbamba bay!Karibu Sana [emoji4][emoji4]
Haha mfano sisi wengine tuko kinda neutral mkuu kuna wakati tunatamani kuwa sehemu iliyochangamka na kuna wakati tunatamani kuwa sehemu iliyotuliaHIi inategemea na mindset ya mtu na experience yake katika mambo.
Kuna watu huwatoi kwenye ma vibe ya clubs na sehemu kama za samaki samaki palivyo na kelele za kufa mtu hasa zile saa wanapotangaza watoto na wajawazito waondoke zianze amsha amsha.
Umewahi fika Makete Mkuu? Naona mazingira hayana tofauti na Lushoto.Ni ulaya iliyopooza
Huku sijawahi fika napasikia mno natamani nifike siku mojaMbamba bay!
Ni pazuri pia ulipata nafasi patembelee.Huku sijawahi fika napasikia mno natamani nifike siku moja
Daah ile bustani ya kitulo ni very cool aseeHivi mshawahi fika Kitulo? Aise, hii nchi imebarikiwa sana. Na ukitaka kuenjoy zaidi pitia njia ya Njombe to Makete.
Hii screenshot niliipiga asubuhi.Daah ile bustani ya kitulo ni very cool asee
Huko nimepuyanga sana na jamaa zangu wa friends of usambara
Tulipanda miti mingi sana na harakati
Zingine za misitu
All in all lushoto it's beautiful
Ova
Mara chache sio mbayaHaha mfano sisi wengine tuko kinda neutral mkuu kuna wakati tunatamani kuwa sehemu iliyochangamka na kuna wakati tunatamani kuwa sehemu iliyotulia
Lakini binafsi kadiri umri unavyozidi kusogea naona kama naegamia zaidi kwenye sehemu iliyotulia kuliko iliyochangamka
Yani tofauti na zamani nilipokuwa teenager niliegamia zaidi kwenye sehemu iliyochangamka kuliko iliyotulia ila mambo yanabadilika
Kuna baadhi ya hotels au lodges kwenye hayo maeneo huwa zina wifi mkuu labda tu ufike zile sehemu ambazo hakuna mahali pa kulalaAll in all, shida yangu kubwa na maeneo tulivu ni ukosekanaji wa mtandao. Sipendi niwe sehemu halafu nikawa offline sikunzima.
Siku nikienda tena mkoa wa Ruvuma Mbamba Bay ni moja ya sehemu ambazo Nimepanga nifikeNi pazuri pia ulipata nafasi patembelee.
Mimi na mazonge yangu,maumjinimjini
Ila linapokuja suala la miti,nature
Napenda sana
Ule ukijani naupenda sana sana
Ova
Haha hatari sana kwa mkoa wa Njombe hizo °C ni kawaida sana hasa Makete kule ndiyo kuna kipindi zinasoma hadi Negative mwendo wa barafu tuHii screenshot niliipiga asubuhi.
All in all, shida yangu kubwa na maeneo tulivu ni ukosekanaji wa mtandao. Sipendi niwe sehemu halafu nikawa offline sikunzima.
Hapo nimeenda kipindi cha joto. Wenyeji wanasema mwezi wa sita maji kwenye mabomba huwa hayatoki 😃 mpaka wamwagie bomba maji ya moto.Haha hatari sana kwa mkoa wa Njombe hizo °C ni kawaida sana hasa Makete kule ndiyo kuna kipindi zinasoma hadi Negative mwendo wa barafu tu
Sent from my S6 using JamiiForums mobile app