Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,779
- 21,061
Single ni $60 na double ni $80. Pigs simu namba 0784866877 kwa mawasiliano zaidi....Ni kama Shilingi ngapi Mpendwa Nakadori?
Single ni $60 na double ni $80. Pigs simu namba 0784866877 kwa mawasiliano zaidi....Ni kama Shilingi ngapi Mpendwa Nakadori?
Aaaah mkuu Kendwa pazuri kweli ila sio kwa namna umesema. Zanzibar kuna maeneo mazuri sana ukienda huko utashangaa kupaona Kendwa pazuri kiasi hicho. Kendwa kwa event ya new year na full moon party wako [emoji108][emoji108]Mi mwaka mpya nimeulia Kendwa rocks alooo hii nchi watu wanatumia pesa bana.Kwa hapa bongo viwanja vyote navijuwa ila sijaona kama Kendwa rocks.View attachment 2469549View attachment 2469550
Kuna Paje Sasa huko ndo funiko mkuu hatari sana next time ukipata mda nenda Paje utakuja kunishukuru mkuu.Aaaah mkuu Kendwa pazuri kweli ila sio kwa namna umesema. Zanzibar kuna maeneo mazuri sana ukienda huko utashangaa kupaona Kendwa pazuri kiasi hicho. Kendwa kwa event ya new year na full moon party wako [emoji108][emoji108]
Paje pana maeneo mazuri mnoo ukilinganisha na Nungwi, Matemwa nako pazuri, Kiwengwa sijafika ila niliambiwa ni pazuri kuliko Paje.Kuna Paje Sasa huko ndo funiko mkuu hatari sana next time ukipata mda nenda Paje utakuja kunishukuru mkuu.
Hahahahah mkuu bwana...unawaza zile dollars halaf ujikunyate mwenyewe...Am business man, so traditionally when I travel leisure component ni muhimu sana kwenye package yangu, this revives me back to life of Eden, it's my choice, it's my life, it's my taste, it's my choice wewe endelea na gospel singing pia ni soft recreation.
Siwezi kwenda Irente View Point bila demu never, climatic condition ya Lushoto bila demu utakuwa na uzuzu fikirishi sana.
Usikasirike nimekupa tu upande wa pili wa utafauti katika maisha. Leisure travel means leisure travel, bring back urself to life with productive energy.
Hii ipo kwenye moja ya maeneo ntakayoyafikia mwaka huu kabla haujaishaMi mwaka mpya nimeulia Kendwa rocks alooo hii nchi watu wanatumia pesa bana.Kwa hapa bongo viwanja vyote navijuwa ila sijaona kama Kendwa rocks.View attachment 2469549View attachment 2469550
Mi najiandaa Mwezi march nianze kusave Kwa ajili ya Paje na kiwengwa life is too short sana.Paje pana maeneo mazuri mnoo ukilinganisha na Nungwi, Matemwa nako pazuri, Kiwengwa sijafika ila niliambiwa ni pazuri kuliko Paje.
Life is too short mkuu, TUISHIMi najiandaa Mwezi march nianze kusave Kwa ajili ya Paje na kiwengwa life is too short sana.
KabisaLife is too short mkuu, TUISHI
Ndio maana ufanisi kazini ni mdogo mnoo.Vijana hao mkuu. Pombe na ngono ndio starehe yao pekee.
Nawe unajipanga kwenda wapi rafikiLife is too short mkuu, TUISHI
Si ndo matumizi yenyewe ya pesa rafikiNdio maana ufanisi kazini ni mdogo mnoo.
Akili zinawaza kuiba ukalewe na kufunua vyupi
Nina kwingi sana wajua ninavyopenda adventureNawe unajipanga kwenda wapi rafiki
Isiwe kila wakati.Si ndo matumizi yenyewe ya pesa rafiki
Ahahaha mkuu akikwa hata misosi utamsevu piaKaribu my home town ukikwama lolote nicheki
Inabidi uwe mtu wa ku-appreciate nature na utulivu ndio utapapenda. Ila kama mtu wa vibe sijui vurugu vurugu si mahali pako.Natamani sana kwenda Lushoto maana panasifiwa sana.
Aaah mie na vurugu vurugu hatupatani kabisa. Napenda maeneo matulivu yenye miti miti, maji nkInabidi uwe mtu wa ku-appreciate nature na utulivu ndio utapapenda. Ila kama mtu wa vibe sijui vurugu vurugu si mahali pako.