Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Ila barabara kuelekea kule juu ni mlima mkali kwa sisi ambao ni waoga wa miinuko ilikuwa mara ya kwanza na mwisho
Kwangu mimi mara ya kwanza nilitamani nishuke nitembee kwa miguu nione vizuri ile milima aisee ilikuwa experience nzuri sana kwangu.
 
Kijana acha Woga watu tunapanda na kushuka kama tambarare
Mara ya kwanza tunapelekwa na mwenyeji wetu tunashangaa kama tunaacha ardhi tunapaa 😄😆 ikabidi uskani achukue mwingine ila kushuka sekunde tu
 
Kwangu mimi mara ya kwanza nilitamani nishuke nitembee kwa miguu nione vizuri ile milima aisee ilikuwa experience nzuri sana kwangu.
Yah kutembea kwa miguu ni afadhali tofauti na ukiwa.kwenye gari
Kwanza ile barabara hamwezi hata kupishana tulikutana na gari inarudi tulivutana karibia dk 10 nan apite upande wa korongo 😃
 
Itategemea Kuna Bei za tent,na vyumba vya kawaida

Bei za vyumba ni shilingi 80000/= kwa wazawa na wageni mpaka laki per day

Kama kubadilika iwe ivi karibuni
 
Hili kanisa gani?
Hiyo ni sehemu ya kwenda kupata beverage humo ndani pazuri usipaone ivyo

Nakumbuka hapo nilikutana wazungu Kama 6 pamoja muhindi mmoja alikuwa jirani ya nyumba inayofuata aliagizwa mbuzi mzim akasafishwa safi kabisa wakatutolea jiko hapo nje unaposema kanisa wakatuwekea na meza kubwa tukawa tunachoma nyama huku tunapiga stori taratibu tunasindikizwa na vinywaji safi kabisa ....! Hapa ndipo nilipata connection ya kazi yangu ya sasa
 
Back
Top Bottom