Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Mapumziko ya Mwili na Akili, Lushoto

Wakuu heshima zenu,

Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya kama siku 2 ili nipumzishe hii akili.

Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri.

Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green, pakiwa na bwawa la kuogelea itakuwa poa sana.

So Mwenye idea na maeneo tajwa msaada wako ni muhimu kwangu na kwa wana JF wengine

Karibuni.
Nenda huku
1670837656914.jpg
1670837617623.jpg
IMG-20221231-WA0005.jpg
IMG-20221231-WA0008.jpg
 
Wakuu heshima zenu,

Nahitaji kwenda nje ya jiji la Dar kwa mapumziko mafupi ya kama siku 2 ili nipumzishe hii akili.

Nahitaji kwenda Lushoto, Tanga ila sijawahi kufika huko wala siyajui maeneo mazuri.

Nahitaji mahali palipotulia sanaa na penye mazingira natural ya kutosha with enough green, pakiwa na bwawa la kuogelea itakuwa poa sana.

So Mwenye idea na maeneo tajwa msaada wako ni muhimu kwangu na kwa wana JF wengine

Karibuni.
Pia unaweza kwenda Magoroto Forest Estate; Muheza! Hutojuta. Ni sehemu nzuri, yenye utulivu wa hali ya juu na kuna bwawa na madhari nzuri ya asili yenye kuvutia.
 
Irente view, Kuna mti wa chemchem ,maporomoko mto mbweza karibu katika shule ya shambalai kama sijakosea..

Magamba forest huko kweny chuo cha sekomu na shule ya girls st.mary mazinde juu,Huku watoto wanasoma na wanalelewa kweny dini na imani haswa..

Hali ya hewa ya lushuto ni utalii tosha .

Karibu sana.
Screenshot_20221207-102201.png
0.jpg
20220830_112605.jpg
 
Back
Top Bottom