Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

Tatizo unapotosha! Kwa sasa tuna Rais Samia! Na amesha apa tayari. Magufuli ni marehemu. Sasa unataka hoja gani ijadiliwe? Si urekebishe tu maelezo yako! Au umeamua kuirithi ile tabia ya ukaidi na ujuaji?
Mh. Rais Ally Hassan Mwinyi
Mh Rais Benjamini Mkapa
Mh Rais Karume
Mh Rais Shein


haya sasa nenda kanisemee MIGA
 
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.



KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Sasa hivi tunaongelea awamu ya Mama Samia siyo historia ya waliokuwa marais zamani.
 
Sijaona family yake nikiwa na maana watoto wake kuaga mwili wa marehemu? Hapa kuna kitu gani kimejificha?
 
Wakazi wa Dodoma wamejitokeza na kuizunguka Airport ya Jiji la dodoma wakisubiri kuona Mwili wa Mh Rais Magufuli ukishuka tayari kuagwa hapo kesho.



KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
Ni kawaida sana watu kumshangaa marehemu
 
Sijui kama ile title ya Makao Makuu mliyopewa itafikisha miezi sita kwa dalili nazoziona, watoto wa mjini wanaonekana hawataki kabisa kuiachia Dsm.

Aisee,,
Elimu yako ina mashaka sana kwa jibu hili

Dodoma ni makao makuu ya nchi toka awamu ya The Late Mwalimu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom