Mapokezi ya Mwili wa John Pombe Magufuli: Wakazi wa Dodoma waizunguka Airport

Tulimpenda sana naumia kutomsikia tena sauti yake na kutokuiona sura yake ee mung mlaze mahala pema peponi amen
 
Jana katika pitapita zangu YouTube kuna video moja ilinishangaza na ilinifanya niumee mno kwamba kuna mchungaji mmoja sijui jimbo LA WAP alitabili kifo.kifo hicho viongozi wakubwa katika ikuru watafariki hivi huyu jamaa ni mchawi or mrogiristcs au anatumia astral ila kama ni astral ni ngumu itakuwa ni mashetani not roho mtakatifu hapo
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom