T2020JPM
JF-Expert Member
- Sep 8, 2020
- 635
- 263
Ndo sera ya chadema iyo kwa wananchi?Mtakufa kihoro..
Ndo sera ya chadema iyo kwa wananchi?Mtakufa kihoro..
Member wengi wa CCM Wanaenda na Ni yeye Lissu 28 October, wafanyakazi (Walimu, watumishi wa vyombo vya ulinzi hawa wote vikokotoo vinawahusu), wastafu waliofukuzwa kazi, waliotumbuliwa na kuzalilisha pamoja na kuwa na elimu kubwa,tulio kosa ajira tokeo 2015 mpaka 2020, ambao wako oppressed na TRA , wakulima ,bodaboda, wafanyabiashara na wengine wengi ambao wanaitwa Wanyonge , na tumekataa kuitwa wanyonge, Tuenda na Ni yeye, 28 October 2020 ni Lissu.Hahahaa Hivi Siasa Unaijua wewe Wenzenu CCM wanawapiga Kura nyie mnamashabiki Lowassa aliondoka na Asilimia zake 30 kazirudishwa CCM so mwaka huu mkipata 20% mshukuru sana asee Maana CCM itawapiga kichapo cha mbwa koko
Leta video nasikia TBC walikata matangazo.Umeiona nyomi ya Kagera lakini?
hao hao unaowabeza wameikalisha CCM Chini kwa miaka kumi mfululizo kuamzia ngazi ya mtaa hadi ubunge zungumza kingineMnategemea nyomi la wasio na kadi kazi mnayo,walishazitupa kitambo.
Endeleeni kudanganyana tu, Lissu leo mwenyewe kawaambia Tunduma mmevunja rekodi, halafu wewe unaleta historia zako hapa.Aisee chadema hadi aibu..
Hivi Lisu atashinda urais wa wapi?
Twitter kwa kigogo ama?
Magufuli anakubalika mikoa mingi sana kumzidi TlOnly NEC ndio wanaweza kuwaokoa CCM hapo 28 octoba. Njia nii nyeupe kwa Lissu na Chadema.
Ni Yeye2020
Comrade kwa iyo Lissu mwenyewe akiwaambia Tunduma mmevunja rekodi ndio kashashinda uchaguzi??! Kazi ipo.Endeleeni kudanganyana tu, Lissu leo mwenyewe kawaambia Tunduma mmevunja rekodi, halafu wewe unaleta historia zako hapa.
Amini nakwambia. Linaloenda kutokea hapo October dunia inaenda kushangaa. Tundu Lissu anaenda kumpiga vibaya sana magufuli kwenye sanduku la kura. Sioni namna magufuli anaenda kumshinda Lissu mwaka huuHahahahahaha dah Unamachozi ya Mchezoo Utaliaa Tena Tarehe 28 wakati Magu anatangazwa kushinda kwa asilimia 95%
Kwani kwa Lowassa ilikuaje comrade??? Lissu amemzidi nini lowassa?? Mlideki mpaka barabara lakini mwisho wa siku mliangukia pua.Mwaka huu kwa moto sana aisee! Lissu ni mjeuri sana! Go LISSU, GO WAKWETU!
Sema anakubalika chatoMagufuli anakubalika mikoa mingi sana kumzidi Tl
Hata unachikiongea haukijui. Kadi ya moiga kura watu walishajiandikisha kwa wingi sababi ilifikia mahala ulikua hauwezi kupata huduma bila ya kitambulisho cha mpiga kura.ccm inawapenda wanachama wake hawataki waangaike, nyie endeleeni kuamini kuwa wanaobebwa wanalazimishawa wakati nyie wenu hawana kadi,watunza kadi wengi ni wamama,wazee na watu waliostarabika hao ambao mnawaona wanajaa kwenye mikutano yenu ni wale wasio na kadi,vibaka,waliokata tamaa za maisha kwa bhangi na utapeli.
Kagera kwa mdomo wangu nimemwambia babako wa kambo simtaki.Umeiona nyomi ya Kagera lakini?
Kwani kwa Lowassa ilikuaje comrade??? Lissu amemzidi nini lowassa?? Mlideki mpaka barabara lakini mwisho wa siku mliangukia pua.
Yaliyopita si ndwele jombaaa! Na mavi ya kale hayanuki! Lowassa Hana madhara Tena na kwa taarifa yako wale ccm waliomfuata cdm Kisha yeye kuwageuka watampa kichapo yeye na huyo aliyemrubuni!Kwani kwa Lowassa ilikuaje comrade??? Lissu amemzidi nini lowassa?? Mlideki mpaka barabara lakini mwisho wa siku mliangukia pua.
Hicho kichaka cha NEC tafuteni kingine. Kila mkishindwa mnajifichia hapo.Mnajivunia NEC tu ninyi!
Hiyo 20% ni yako huko gheto ulikojificha ukijidanganya, Tambua kuwa watanzania wameamka hawataki ujinga wa CCM wanajua miradi yote ya CCM imejaa ufisadi, CCM ni ile ile Ukoo wa panyaMaskini! Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura sasa sijui huo ushindi ni wa wapi mnaoungelea
CCM bila wizi bila uchakachuaji ni weupe sanaActually CCM ikipata 30% from this election, ishukuru sana. Lissu amewashika pabaya sana.
Katika uzoefu wangu kwenye uchaguzi hali ile ya 1995 haitatokea tena...AugustinoLyatongaMrema alikuwa anakusanya maelfu kwa maelfu kwenye mikutano yake...at the end of the day nadhani alipata almost 30 per cent or less than that...Lissu?!? He won't score more than 18 per cent...Amini nakwambia. Linaloenda kutokea hapo October dunia inaenda kushangaa. Tundu Lissu anaenda kumpiga vibaya sana magufuli kwenye sanduku la kura. Sioni namna magufuli anaenda kumshinda Lissu mwaka huu
Comrade hakuna kipindi chadema mlikua na nguvu kama mwaka 2015 kipindi kile tulipata kazi sana kumnadi Magufuli nakumbuka vizuri sana jinsi mafuriko ya lowassa yalivyotusumbua.Yaliyopita si ndwele jombaaa! Na mavi ya kale hayanuki! Lowassa Hana madhara Tena na kwa taarifa yako wale ccm waliomfuata cdm Kisha yeye kuwageuka watampa kichapo yeye na huyo aliyemrubuni! Pia, wale mliowakata ilihali wakishinda kihalali kugombea bado Wana machungu wao na wafuasi wao kwani hamkuwa na muda wa kuwaweka sawa kisaikolojia! Yaani tegemeeni kupigwa nje- ndani Safari hii kwani majeruhi wa aina ya siasa za ccm ni wengi kuliko wanacdm na ndio watakaowachapa Hadi akili ziwakae sawa!
Nawashauri tu kuwa kubalianeni na Hali halisi kwani mlilikoroga wenyewe na hamna budi kulinywa lingali moto! Acheni kujifariji!