Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Hahahaa Hivi Siasa Unaijua wewe Wenzenu CCM wanawapiga Kura nyie mnamashabiki Lowassa aliondoka na Asilimia zake 30 kazirudishwa CCM so mwaka huu mkipata 20% mshukuru sana asee Maana CCM itawapiga kichapo cha mbwa koko
Member wengi wa CCM Wanaenda na Ni yeye Lissu 28 October, wafanyakazi (Walimu, watumishi wa vyombo vya ulinzi hawa wote vikokotoo vinawahusu), wastafu waliofukuzwa kazi, waliotumbuliwa na kuzalilisha pamoja na kuwa na elimu kubwa,tulio kosa ajira tokeo 2015 mpaka 2020, ambao wako oppressed na TRA , wakulima ,bodaboda, wafanyabiashara na wengine wengi ambao wanaitwa Wanyonge , na tumekataa kuitwa wanyonge, Tuenda na Ni yeye, 28 October 2020 ni Lissu.
 
Endeleeni kudanganyana tu, Lissu leo mwenyewe kawaambia Tunduma mmevunja rekodi, halafu wewe unaleta historia zako hapa.
Comrade kwa iyo Lissu mwenyewe akiwaambia Tunduma mmevunja rekodi ndio kashashinda uchaguzi??! Kazi ipo.
 
Hahahahahaha dah Unamachozi ya Mchezoo Utaliaa Tena Tarehe 28 wakati Magu anatangazwa kushinda kwa asilimia 95%
Amini nakwambia. Linaloenda kutokea hapo October dunia inaenda kushangaa. Tundu Lissu anaenda kumpiga vibaya sana magufuli kwenye sanduku la kura. Sioni namna magufuli anaenda kumshinda Lissu mwaka huu
 
ccm inawapenda wanachama wake hawataki waangaike, nyie endeleeni kuamini kuwa wanaobebwa wanalazimishawa wakati nyie wenu hawana kadi,watunza kadi wengi ni wamama,wazee na watu waliostarabika hao ambao mnawaona wanajaa kwenye mikutano yenu ni wale wasio na kadi,vibaka,waliokata tamaa za maisha kwa bhangi na utapeli.
Hata unachikiongea haukijui. Kadi ya moiga kura watu walishajiandikisha kwa wingi sababi ilifikia mahala ulikua hauwezi kupata huduma bila ya kitambulisho cha mpiga kura.

Anzia Polisi, bank, mahakamani, kusajili simu, kupewa dhamana, kuomba mkopo kufanya mikataba, kote huko ilikua ni lazima uwe na kadi ya mpiga kura.

Kingine, elewa kwamba si lazima wanachama wako wakupigie kura, hususan CCM ambapo watu wanachama wake wameumizwa nacho sababu ya aina ya kiongozi.
 
Kwani kwa Lowassa ilikuaje comrade??? Lissu amemzidi nini lowassa?? Mlideki mpaka barabara lakini mwisho wa siku mliangukia pua.
Yaliyopita si ndwele jombaaa! Na mavi ya kale hayanuki! Lowassa Hana madhara Tena na kwa taarifa yako wale ccm waliomfuata cdm Kisha yeye kuwageuka watampa kichapo yeye na huyo aliyemrubuni!

Pia, wale mliowakata ilihali wakishinda kihalali kugombea bado Wana machungu wao na wafuasi wao kwani hamkuwa na muda wa kuwaweka sawa kisaikolojia!

Yaani tegemeeni kupigwa nje- ndani Safari hii kwani majeruhi wa aina ya siasa za ccm ni wengi kuliko wanacdm na ndio watakaowachapa Hadi akili ziwakae sawa!

Nawashauri tu kuwa kubalianeni na Hali halisi kwani mlilikoroga wenyewe na hamna budi kulinywa lingali moto! Acheni kujifariji!
 
Maskini! Lisu hapati zaidi ya 20% ya kura sasa sijui huo ushindi ni wa wapi mnaoungelea
Hiyo 20% ni yako huko gheto ulikojificha ukijidanganya, Tambua kuwa watanzania wameamka hawataki ujinga wa CCM wanajua miradi yote ya CCM imejaa ufisadi, CCM ni ile ile Ukoo wa panya
 
Amini nakwambia. Linaloenda kutokea hapo October dunia inaenda kushangaa. Tundu Lissu anaenda kumpiga vibaya sana magufuli kwenye sanduku la kura. Sioni namna magufuli anaenda kumshinda Lissu mwaka huu
Katika uzoefu wangu kwenye uchaguzi hali ile ya 1995 haitatokea tena...AugustinoLyatongaMrema alikuwa anakusanya maelfu kwa maelfu kwenye mikutano yake...at the end of the day nadhani alipata almost 30 per cent or less than that...Lissu?!? He won't score more than 18 per cent...
 
Yaliyopita si ndwele jombaaa! Na mavi ya kale hayanuki! Lowassa Hana madhara Tena na kwa taarifa yako wale ccm waliomfuata cdm Kisha yeye kuwageuka watampa kichapo yeye na huyo aliyemrubuni! Pia, wale mliowakata ilihali wakishinda kihalali kugombea bado Wana machungu wao na wafuasi wao kwani hamkuwa na muda wa kuwaweka sawa kisaikolojia! Yaani tegemeeni kupigwa nje- ndani Safari hii kwani majeruhi wa aina ya siasa za ccm ni wengi kuliko wanacdm na ndio watakaowachapa Hadi akili ziwakae sawa!
Nawashauri tu kuwa kubalianeni na Hali halisi kwani mlilikoroga wenyewe na hamna budi kulinywa lingali moto! Acheni kujifariji!
Comrade hakuna kipindi chadema mlikua na nguvu kama mwaka 2015 kipindi kile tulipata kazi sana kumnadi Magufuli nakumbuka vizuri sana jinsi mafuriko ya lowassa yalivyotusumbua.

Lissu hana nguvu kumzidi lowassa, kampeni imekua rahisi sana na tutampiga mapema sana. Hana nafasi katika nchi hii.
 
Back
Top Bottom