Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Only NEC ndio wanaweza kuwaokoa CCM hapo 28 octoba. Njia nii nyeupe kwa Lissu na Chadema.

Ni Yeye2020
Ole wao NEC wakosee mahesabu wajifanye eti wanaiba au hawakutaki kumtangaza mgombea aliyeshinda kiuhalali, wao, CCM na Polisi wao, watajuta. Tumefanyiwa mambo ya ajabu ajabu mengi miaka hii 5, sasa ujinga wabaki nao CCM, na wapambe wao NEC na PoliceCCM. Wananchi tunasema, kuonewa, kugandamizwa na kuibiwa kura, imetosha.

Kule kwetu, sasa tumefikia mahali pakusema, "Swela Hela".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafuso makubwa kama hili??View attachment 1571559
CCM.jpg
 
Its very sad umekuwa katika chama zaidi ya 59 years na katika miaka hiyo Kuna miaka 5 umekuwa kuongozi mkuu leo mtu wa 15 years katika siasa anakunyima Utulivu wa kujikita katika kinyng'anyilo
 
Back
Top Bottom