Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Ivonovsky da White

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,374
2,000
Hahahaa Hivi Siasa Unaijua wewe Wenzenu CCM wanawapiga Kura nyie mnamashabiki Lowassa aliondoka na Asilimia zake 30 kazirudishwa CCM so mwaka huu mkipata 20% mshukuru sana asee Maana CCM itawapiga kichapo cha mbwa koko
Member wengi wa CCM Wanaenda na Ni yeye Lissu 28 October, wafanyakazi (Walimu, watumishi wa vyombo vya ulinzi hawa wote vikokotoo vinawahusu), wastafu waliofukuzwa kazi, waliotumbuliwa na kuzalilisha pamoja na kuwa na elimu kubwa,tulio kosa ajira tokeo 2015 mpaka 2020, ambao wako oppressed na TRA , wakulima ,bodaboda, wafanyabiashara na wengine wengi ambao wanaitwa Wanyonge , na tumekataa kuitwa wanyonge, Tuenda na Ni yeye, 28 October 2020 ni Lissu.
 

T2020JPM

JF-Expert Member
Sep 8, 2020
414
250
Endeleeni kudanganyana tu, Lissu leo mwenyewe kawaambia Tunduma mmevunja rekodi, halafu wewe unaleta historia zako hapa.
Comrade kwa iyo Lissu mwenyewe akiwaambia Tunduma mmevunja rekodi ndio kashashinda uchaguzi??! Kazi ipo.
 

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
3,937
2,000
Hahahahahaha dah Unamachozi ya Mchezoo Utaliaa Tena Tarehe 28 wakati Magu anatangazwa kushinda kwa asilimia 95%
Amini nakwambia. Linaloenda kutokea hapo October dunia inaenda kushangaa. Tundu Lissu anaenda kumpiga vibaya sana magufuli kwenye sanduku la kura. Sioni namna magufuli anaenda kumshinda Lissu mwaka huu
 

Consigliere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
11,292
2,000
ccm inawapenda wanachama wake hawataki waangaike, nyie endeleeni kuamini kuwa wanaobebwa wanalazimishawa wakati nyie wenu hawana kadi,watunza kadi wengi ni wamama,wazee na watu waliostarabika hao ambao mnawaona wanajaa kwenye mikutano yenu ni wale wasio na kadi,vibaka,waliokata tamaa za maisha kwa bhangi na utapeli.
Hata unachikiongea haukijui. Kadi ya moiga kura watu walishajiandikisha kwa wingi sababi ilifikia mahala ulikua hauwezi kupata huduma bila ya kitambulisho cha mpiga kura.

Anzia Polisi, bank, mahakamani, kusajili simu, kupewa dhamana, kuomba mkopo kufanya mikataba, kote huko ilikua ni lazima uwe na kadi ya mpiga kura.

Kingine, elewa kwamba si lazima wanachama wako wakupigie kura, hususan CCM ambapo watu wanachama wake wameumizwa nacho sababu ya aina ya kiongozi.
 

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,365
2,000
Kwani kwa Lowassa ilikuaje comrade??? Lissu amemzidi nini lowassa?? Mlideki mpaka barabara lakini mwisho wa siku mliangukia pua.
Yaliyopita si ndwele jombaaa! Na mavi ya kale hayanuki! Lowassa Hana madhara Tena na kwa taarifa yako wale ccm waliomfuata cdm Kisha yeye kuwageuka watampa kichapo yeye na huyo aliyemrubuni!

Pia, wale mliowakata ilihali wakishinda kihalali kugombea bado Wana machungu wao na wafuasi wao kwani hamkuwa na muda wa kuwaweka sawa kisaikolojia!

Yaani tegemeeni kupigwa nje- ndani Safari hii kwani majeruhi wa aina ya siasa za ccm ni wengi kuliko wanacdm na ndio watakaowachapa Hadi akili ziwakae sawa!

Nawashauri tu kuwa kubalianeni na Hali halisi kwani mlilikoroga wenyewe na hamna budi kulinywa lingali moto! Acheni kujifariji!
 

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
17,807
2,000
Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo

Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama Cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita.
Tunduma ni kitovu cha kuwabambikia kesi chadema kwa sasa kuna uonevu mkubwa tokea kwa Polisiccm wanaotumwa na Silinde kuwaonea wapinzani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom