Uchaguzi 2020 Mapokezi ya Mgombea Urais wa CHADEMA Tundu Lissu katika mji wa Tunduma

Owen chimela

Member
Feb 24, 2012
32
150
Mji mkongwe wa kibiashara uliopo mpakani mwa Zambia na Tanzania ni Kama umetii amri baada ya shughuli zote kusimama huku Maelfu kwa maelfu ya wapenzi na wanachama wakiendelea kumlaki kwa nderemo na vifijo

Ni shangwe Tunduma haijawahi kutokea mapokezi ya kiongozi mkubwa wa chama cha aina yoyote ile kutokea tangu miongo kadhaa iliyopita.

1600279813767.png
 

Blackjew

JF-Expert Member
Jan 3, 2015
447
1,000
Nimepata maono Magufuli, Siro, Mkuu wa TBC, Mabeyo, Mkuu wa magereza, Mkuu wa TISS mwenyekiti wa NEC ndg Mahera na yule jamaa afisa nini sijui ambaye ni mweusi na sura mbaya kama breki ya jeneza wa tume mwakani kipindi Kama hiki watakuwa The Hague uholanzi kujibu tuhuma za genocide
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom