Josse kongolo
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 478
- 1,082
Siku moja tukiwa shulen mwalim aliingia darasan nakumbuka ilikuwa time ya kujiandaa na paper ya kuhitim shule ya msingi mwalim akuunda makund kwa ili tuwe tunajadiliana bnafs nikaona ya nn yakiyonikuta siku ya mtihan staki hata kukumbuka so umoja ni the best solution no matter what