Katika hali ya kushitusha aliyekuwa mbunge wa jimbo la momba ndugu sirinde amejikuta ktk wakati mbaya kutokana najimbo lake kugawanywa ambapo kumekuwa na majimbo mawili tunduma na momba katika mgawanyo huo sirinde ametupiwa momba ambako ndiko wananchi waeneo hilo wanachuki kuu! Kutokana na sirinde kuwatupa kwakuamini ngome yake nitunduma na kula atavunia huko, ilikuthibitisha ilo sirinde alitembelea jimbo hilo ilikuwaaga wanachama kwa muhula huu kwenye kata ya Ruwasho
Silinde akiongozana na Sugu walifanya mkutano nakuchinja ng'ombe tano nakusomba watu kwenye maroli kutoka tunduma na vijiji mbalimbali huku wenyeji waeneo hilo wakiwa wachache sana kwakususia mkutano pia pia aliwaalika manes na madaktar wa jimbo hilo ilikuhudhuria kikao cha ndan nakupanga kufanya sherehe kubwa lakin waalikwa walisusia kwakudai kuwa uhai wawatu nibora kulikokura zako Sirinde ni mbuzi wakafara aliyetolewa tunduma ilikupisha wenzake jimbo la momba ndiko sirinde alikozaliwa na ndiko hawamuhitaji kwasababu alihijali tunduma zaid akiamin ndko anakopata kura ama kweli usinyee kambi angali ..............inanyesha