Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

UKAWA ina sura ya kitaifa zaidi na nguvu zaidi ya chama kimoja kimoja kwa katiba ya sasa. Nje ya UKAWA kuishinda CCM itakuwa kazi ngumu zaidi. Viongozi wa UKAWA waongoze katika hili na wote ukiacha maadui wa UKAWA TUCHUNGE NDIMI ZETU.
Mkuu Masiya hilo halina ubishi. Tatizo hapa watu wengi tunaongea kishabiki bila kuangalia uhalisia wenyewe. Hebu tuache ushabiki tuwe wakweli. UKAWA siyo chama cha siasa,wakikubaliana kuwa na mgombea wa cuf kwa mfano;maana yake vyama vingine vitamuunga mkono. Tufanye ashindwe lkn apate angalau 35% ya kura za urais,watafanya nn kuhusu viti maalumu na ruzuku inayoongezeka kutokana na kura za mgombea urais!!?? Ukifikiria hayo machache,huoni km chadema na ukubwa wao km walikuwa na sababu ya kuingia ktk muungano usio na tija. Km wangeungana na kuvunja vyama vyao kisha kuwa na chama kimoja chenye nguvu hapo me nisingekuwa na shida. Lkn muungano huu,chadema wameingia choo cha kiume.
 
Last edited by a moderator:
UKAWA ina sura ya kitaifa zaidi na nguvu zaidi ya chama kimoja kimoja kwa katiba ya sasa. Nje ya UKAWA kuishinda CCM itakuwa kazi ngumu zaidi. Viongozi wa UKAWA waongoze katika hili na wote ukiacha maadui wa UKAWA TUCHUNGE NDIMI ZETU.


UKAWA haina sura ya kitaifa ina sura ya KUCHUMIA TUMBO ndo maana hata sasa imeshindwa kutoa mgombea!
 
Jamani UKAWA tunaomba msamaha hatutarudia tena Jamani.
Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiii mamamamamama
 
Haya mambo ya nyomi mbona hata Gwajima anayaweza tena kila Jumapili kwa mwaka mzima?
 
Si wakati sahihi Sasa kuzungumzia kuuvunja ukawa siku zote umoja ni nguvu ni muhimu viongozi wetu wakaweka tofauti zao pembeni wakaangalia maslahi mapana ya nchi
 
Chama kitakachoonekana kuuvunja umoja huo kitatikisika zaidi ya vile vitakavyoendelea kuuunga mkono. Kumbuka maneno ya Nyerere kuhusu kuuvunja muungano.
 
Usisubiri jambo litokee halafu uje kulalamika.Wangejuaje sasa kama watu wangekuwa wengi?Hoja hapa ni je ilikuwa busara kuungana??Kama si busara ni kwa nini?
 
.....dadadeki nabado mziki unakuja !!!!

attachment.php

Hii ilikuwa wapi na lini wazee. Kama ni mikoani je UKAWA wakitinga Dar itakuwaje? Sipati picha haki ya kitimotoro!
 
Nahisi we ni shabiki wa ccm wajiondoe UKAWA ili iweje,we unadhani Hapo ni mashabiki wa chadema tu,Hapo niwanamageuzi jumlisha bendera fuata upepo upo.

hakuna shaka ya silinde momba!mie sio mshabiki wa ukawa lakini dogo yuko poa
 
hivi kwa akili yako unazani haowote ni wapiga kura wengine washangaji tu.
 
Msijitoe, umoja ni nguvu, mkitengana mnazigawa kura, mbona hamjifunzi Kenya wapinzani wa nchi hii, au ni vibaraka, mnataka kuwa wapinzani milele
 
Na leo wenye ameifunga nyamagana kwa muda.....nyomi la hatari
 
Aisee lakini hakuna kilichopotea wakizingua tunalianzisha kvyetu maana twajiweza siye

Yap! Hawa jamaa hawana nia ya dhati ya kuwafurumua CCM. Watu mwaka mzima hawajafanya hamasa yoyote ya maana ya kisiasa then leo hii wanakuja wanataka wapewe majimbo sawa kwa sawa inaingia akilini kweli!! Huyo Profesa wao amegombea urais toka 1995 wananchi wamemchoka bado tu anang'ang'ania kugombea! Kama vipi UKAWA ikivunjika, wananchi tutaelewa na kura zetu bado zitaenda CHADEMA.
 
Back
Top Bottom