Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,583
Hop atashinda tu,Silinde ni mtu makini sana.Pia tusubiri uchaguzi
Thubutuu, hamna uwezo wa kujitoa, sema vyama vingine vinaweza kujitoa ukawa ila sio chadema
CUF wanazingua.Tutawakata wakiendelea.
Nipatieni twaarifa malumu juu ya huyu Dogo. kunagazeti moja limeandika alikwenda KUAGA sasa amehama chama, hagombei tena au wehu wa mwandishi tu?Nimeona mapokezi makubwa sana ya David Silinde mbunge wa CHADEMA, nimeridhika kabisa CHADEMA walifanya makosa makubwa sana kujiunga na UKAWA. Kama mkutano wa mbunge unazidi mapokezi ya mgombea urais wa CCM ni wazi CHADEMA ilikuwa imejijenga na haikuwa na sababu ya kujiunga na chama kingine.
Check hapa mafuriko ya wananchi ambao hata hawajabebwa..!
![]()
![]()
![]()
Wasiwasi wako tuu kwakua unaongea bila utafiti .Silinde anazo data za kura alizopata 2010 kwa kila kata .kwa hiyo anajua anachokifanya.Katika hali ya kushitusha aliyekuwa mbunge wa jimbo la momba ndugu sirinde amejikuta ktk wakati mbaya kutokana najimbo lake kugawanywa ambapo kumekuwa na majimbo mawili tunduma na momba katika mgawanyo huo sirinde ametupiwa momba ambako ndiko wananchi waeneo hilo wanachuki kuu! Kutokana na sirinde kuwatupa kwakuamini ngome yake nitunduma na kula atavunia huko, ilikuthibitisha ilo sirinde alitembelea jimbo hilo ilikuwaaga wanachama kwa muhula huu kwenye kata ya Ruwasho
Silinde akiongozana na Sugu walifanya mkutano nakuchinja ng'ombe tano nakusomba watu kwenye maroli kutoka tunduma na vijiji mbalimbali huku wenyeji waeneo hilo wakiwa wachache sana kwakususia mkutano pia pia aliwaalika manes na madaktar wa jimbo hilo ilikuhudhuria kikao cha ndan nakupanga kufanya sherehe kubwa lakin waalikwa walisusia kwakudai kuwa uhai wawatu nibora kulikokura zako Sirinde ni mbuzi wakafara aliyetolewa tunduma ilikupisha wenzake jimbo la momba ndiko sirinde alikozaliwa na ndiko hawamuhitaji kwasababu alihijali tunduma zaid akiamin ndko anakopata kura ama kweli usinyee kambi angali ..............inanyesha
Silinde ndo basi tena tunaenda kumsahau.