Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

Nimeona mapokezi makubwa sana ya David silinde mbunge wa chadema,nimeridhika kabisa chadema walifanya makosa makubwa sana kujiunga na ukawa. Km mkutano wa mbunge unazidi mapokezi ya mgombea urais wa ccm ni wazi chadema ilikuwa imejijenga na haikuwa na sababu ya kujiunga na chama kingine.

Check hapa mafuriko ya wananchi ambao hata hawajabebwa..!

mafuriko hayo ni kutokana na matumaini waliyonayo wananchi kutokana muungano huo, ukivunjika na wananchi kukata tamaa hamtawaona tena
 
yaani tatizo nazani walijiunga na hawakupata mda wa kuyajenga kwa kina ni nini hasa kifanyike na wanaungana kwa lipi na lipi.

ilitakiwa wakubaliane kila chama kiendelee kusaka wafuasi wake kila kona na mwisho wa siku itafahamika tuu nani anakubalika na nani hakubaliki kwa kipimo cha uchaguzi mdogo./serikali za mitaa.

jimbo ambalo chama kimeongoza kwa kuwa na viongozi wengivwa serikali za mitaa ndio kiungwe mkono na vyama vingine lakini hili la kusema kugawana majimbo sawa kwa sawa ni kosa kubwa sana maana kile chama kinachokubalika sana na ambacho ni tishio kwa ccm kitakuwa kinatoa point zake zote na kumkabidhi ccm.

kwa mfano kuwe namajimbo 100 na chadema tuseme ikawa ilishinda majimbo 30 na vyama vingine vya upinzani vikashinda majimbo 10 na ccm wakashinda 60. sasa unapo sema mgawanyo wa majimbo uwe sa wa ni kuwa hapo piga uwa utapunguza majimbo kwa cdm na kuongeza kwa ccm.
maana ubaya kuna vyama vingine kuna sehem uungwaji mkono na wananchi ni 0 kabisaaa so unapo wakabidhi jimbo hilo unatoa mwanya kwa ccm kushindaa.
 
Watanzania hawajui amphibian tank,wanachojua ni uwezo wa John Pombekali Magufuli
....

.....wao na kitingatinga sisi na amphibian tank

attachment.php
 
Vijana wa CHADEMA wekeni akiba ya maneno.

Ndugu yangu pole na msiba wa Lowassa uliotokea mjini Dodoma siasa ndivyo zilivyo pia karibu ujifariji kuangalia nyomi aliyopata Slinde itakusaidia kupeleka hisia zako kwenye nyomi ya Arusha siku ya kutangaza safari ya matumaini iliyofia mikononi mwa Jk.
 
Nimeona mapokezi makubwa sana ya David silinde mbunge wa chadema,nimeridhika kabisa chadema walifanya makosa makubwa sana kujiunga na ukawa. Km mkutano wa mbunge unazidi mapokezi ya mgombea urais wa ccm ni wazi chadema ilikuwa imejijenga na haikuwa na sababu ya kujiunga na chama kingine.

Check hapa mafuriko ya wananchi ambao hata hawajabebwa..!
attachment.php

attachment.php

attachment.php

.....aiseehhh UKAWA jamani mtatupa presha

attachment.php

mafuriko hayo ni kutokana na matumaini waliyonayo wananchi kutokana muungano huo, ukivunjika na wananchi kukata tamaa hamtawaona tena

yaani tatizo nazani walijiunga na hawakupata mda wa kuyajenga kwa kina ni nini hasa kifanyike na wanaungana kwa lipi na lipi.

ilitakiwa wakubaliane kila chama kiendelee kusaka wafuasi wake kila kona na mwisho wa siku itafahamika tuu nani anakubalika na nani hakubaliki kwa kipimo cha uchaguzi mdogo./serikali za mitaa.

jimbo ambalo chama kimeongoza kwa kuwa na viongozi wengivwa serikali za mitaa ndio kiungwe mkono na vyama vingine lakini hili la kusema kugawana majimbo sawa kwa sawa ni kosa kubwa sana maana kile chama kinachokubalika sana na ambacho ni tishio kwa ccm kitakuwa kinatoa point zake zote na kumkabidhi ccm.

kwa mfano kuwe namajimbo 100 na chadema tuseme ikawa ilishinda majimbo 30 na vyama vingine vya upinzani vikashinda majimbo 10 na ccm wakashinda 60. sasa unapo sema mgawanyo wa majimbo uwe sa wa ni kuwa hapo piga uwa utapunguza majimbo kwa cdm na kuongeza kwa ccm.
maana ubaya kuna vyama vingine kuna sehem uungwaji mkono na wananchi ni 0 kabisaaa so unapo wakabidhi jimbo hilo unatoa mwanya kwa ccm kushindaa.

Hao wamekuja kama UKAWA. Mambo yakiharibika watu wanagawanyika, tumia akili kiazi.

Afu mwisho wa cku hawawapigii kura,aibu sana.

Watanzania hawajui amphibian tank,wanachojua ni uwezo wa John Pombekali Magufuli

Ndugu yangu pole na msiba wa Lowassa uliotokea mjini Dodoma siasa ndivyo zilivyo pia karibu ujifariji kuangalia nyomi aliyopata Slinde itakusaidia kupeleka hisia zako kwenye nyomi ya Arusha siku ya kutangaza safari ya matumaini iliyofia mikononi mwa Jk.

hapo sawa maccm wajinyonge

Ni zaidi ya kimbunga. Hongera sana Silinde

TUFIKIRI PAMOJA, TUSEME PAMOJA NA TUTENDE PAMOJA

SEMA:-
NIMECHOKA KUUAWA, NIMECHOKA KUIBIWA, NIMECHOKA KUTESWA NA KUNYANYASWA NDANI YA
NCHI YANGU, NIMECHOKA KUITWA MPINZANI NIMECHOKA KUDHARAULIWA.

SITAKI TENA UTUMWA NDANI YA NCHI YANGU, SASA NI MIMI NA TANZANIA HAPANA CCM OCTOBA 2015.

msema yote

Watanzania hawajui amphibian tank,wanachojua ni uwezo wa John Pombekali Magufuli
Mkuu hakuna hata mtu mmoja ndani ya nchi hii mwenye tatizo na uwezo wa magufuli,tatizo letu ni Kipaumbele cha magufuli ya kutekeleza ilani ya ccm,chama chenye sera ya kufuga na kuendeleza wizi na ufisadi kinaweza kikatokaje na ilani ya itakayoleta maendeleo kwa nchi na watu wake.sana sana magufuli atatumia uwezo wake kuendeleza wizi na ufisadi akianza na katiba pendekezwa iliyoandika na mwenyekiti wa mafisadi nchi na joka lenye makengeza
 
UKAWA wakiungana Magufuli atapigwa hata kwenye mkoa wake!
CHADEMA wakienda wenyewe bado wataongeza wabunge lkn over all wabunge wa upinzani Bungeni watapungua!
Kuungana muhimu sana lkn wasi wasi wangu ni kuwa sidhani kama CCM itaacha kupitisha mpunga ili UKAWA asiungane
 
Aisee lakini hakuna kilichopotea wakizingua tunalianzisha kvyetu maana twajiweza siye

UKAWA ina sura ya kitaifa zaidi na nguvu zaidi ya chama kimoja kimoja kwa katiba ya sasa. Nje ya UKAWA kuishinda CCM itakuwa kazi ngumu zaidi. Viongozi wa UKAWA waongoze katika hili na wote ukiacha maadui wa UKAWA TUCHUNGE NDIMI ZETU.
 
Back
Top Bottom