Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

Hiyo nyomi ya nyamagana Mwanza nzima mmeiona wakubwa?????
Tuwekeeni picha,watoa taarifa wote wa mkutano wa wenje jana,wote mnaleta maneno tu. Wekeni picha kila mtu aone. Km unazo huwezi kuziweka hapa sema nikupe number uweke kwenye whatsap me nizimwage jukwaani.
 
Ndani ya tume huru ya uchaguzi ccm sio kitu.ni kama jani la mgomba lisivyofaa kuezeka nyumba.
 
Umoja ni nguvu... Kura Za cdm Za tunduma plus kura Za cuf Za lindi na mtwara plus kura Za nccr mageuzi Za kule kigoma. U get ushindi wa kishindo.... Msitengane jamaa. I dream 50%50%representation btn tawala na upinzan. Hapo tutaona mabadiliko
 
Naam huo ndo mpango mzima,hata ikulu wataiona chungu sababu hakuna upuuzi watakaoleta bungeni ukakubalika,
 
Kwa kweli kuna rafiki zangu shonza na Mwapamba wakiona hizi picha wanataka kuzimia, maana ndo kwao huko, mwaka huu wangekuwa wanapeta tu. Wangegawana majimbo Mmoja angeenda Momba, mwingine Tunduma na mwingine Mbozi mashariki, hasa pale Mlowo dah!! vijana wamepishana na bahati sana. USALITI mbaya sana jaamani! walienda kwa Mwigulu, huyo naye kakatwa. Labda warudi kwa kaka yao Zitto wakafie huko.
 
Last edited by a moderator:
Ama kweli kumwekucha nawapongeza sana watanzania wenzangu kwa kuamka na kuona dhuruma wanazotufanyia maccm, hakika mungu aendelee kuwapa maono na uelewa watu wengine ambao bado wamelala usingizi wa pono
 
Lengo lilikuwa jema sana,lakini wenzetu wamevimba.wanataka waachiwe Zenji na bara.
Mkuu ni kweli lengo lilikuwa jema. Sisi wengine tulishakuwa na mashaka tangu mapema. Ule ushirika ulifaa sana kwenye bunge la katiba na bunge la jmt. Huku kwenye ushindani kwa aina ya muungano wa UKAWA ni vigumu sana kuelewana..! Me ningekuwa wa kwanza kuunga mkono km wangekubaliana kuviua vyama vyote na kuwa na chama kimoja chenye nguvu sana..!!
 
Nimeona mapokezi makubwa sana ya David Silinde mbunge wa CHADEMA, nimeridhika kabisa CHADEMA walifanya makosa makubwa sana kujiunga na UKAWA. Kama mkutano wa mbunge unazidi mapokezi ya mgombea urais wa CCM ni wazi CHADEMA ilikuwa imejijenga na haikuwa na sababu ya kujiunga na chama kingine.

Check hapa mafuriko ya wananchi ambao hata hawajabebwa..!
attachment.php

attachment.php

attachment.php

Jamaa anatisha mno
 
Mbeya yote Motto wetu ni" Mbeya nchi chama chetu ni CHADEMA,Rais wetu Sugu na mawiziri ndiyo hao wabunge wote, wabunge ni madiwani, wenyeviti wa vijiji ndiyo madiwani full stop"!
 
kuna miji wananchi wanajielewa kama tunduma,moshi mjini ccm hata waje na winchi hawawez kuwabadilisha.
 
Nlikuwa naongea na jamaa angu yupo Tunduma amenambia kuwa huko CHADEMA itakufa hivi karibuni kwakuwa Mwenyekiti Mwanjoka na Silinde wamekifanya chama ni cha kwao kwa kupanga safu ya uongozi na sasa Mwanjoka ndo anataka kugombea ubunge wa Tunduma huku akiwa ni darasa la nne tu.

Wanachama wengine wa chama hicho wanasema apewe mtu mwingine mwenye elimu kubwa na Mwanjoka abaki tu kupayuka majukwaani.
 
Wanao taka kujitoa watoke tu huwezi lazimisha kuishi na mwanamke ndani ya nyumba na kushea na kitanda huku yeye hataki kuishi nawe.....
 
Back
Top Bottom