Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

Mapokezi ya David Silinde ni ushahidi CHADEMA mlifanya makosa

Namuona Silinde kanenepa shavu dodo,nimekumbuka kipindi yuko chuo alivyokuwa ananipiga mizinga.,, kweli ubunge mtamu

sasa silinde kaota shavu wa unaendelea kuwa msukule wa lowassa hahhaha ushakatwa endelea kutumika
 
"If you want to walk fast, walk alone. If you want to walk far, walk together." African Proverb

Siku zote, kuna nguvu katika umoja.
 
Tutakutana October nyie lopokeni ila CCM n kiboko yenuuuuuuu nyie imbenii taarabu lopokeni maneno hayohayo tangu zamani kubeba lakinii tunashinda urais
 
Tutakutana October nyie lopokeni ila CCM n kiboko yenuuuuuuu nyie imbenii taarabu lopokeni maneno hayohayo tangu zamani kubeba lakinii tunashinda urais

m.pu.mbavu mkubwa wewe tena shetani mweusi, tizama tu unavyoandika.
Mnaboa sana!!
 
Kwakweli Vijana wengi wa upinzani wanajitambua sana wamefanya makubwa ndani na nje ya bunge ukilinganisha na chama tawala ambao kunavijana wengi lakini ni asilimia ndogo sana walionyesha uthubutu sijua huwa wanakatazwa kutoa Mawazo yao au ni uoga wao tu.
 
Naona kwa huku tanzania bara cuf wamebebwa na chadema cuf Nao hilo wanalijua vizuri sana na ndio maana hawajishulishi na chochote wapo wapo tu kazi yao kubwa ni kulalamika tu bila sababu za msingi.
 
UKAWA ina sura ya kitaifa zaidi na nguvu zaidi ya chama kimoja kimoja kwa katiba ya sasa. Nje ya UKAWA kuishinda CCM itakuwa kazi ngumu zaidi. Viongozi wa UKAWA waongoze katika hili na wote ukiacha maadui wa UKAWA TUCHUNGE NDIMI ZETU.

Umenena vyema kiongozi
 
Back
Top Bottom