Nitatunga kitabu kumuelezea Lema ili vizazi vijavyo viwe na kumbukumbu.
Lema ndiye alikamata waraka wa Uasi uliopelekea Wasaliti na Waasi kufukuzwa Chadema kama Mbwa!
ha ha ha..uanze na historia yake alipokuwa jambazi maarufu la magari....
Nitatunga kitabu kumuelezea Lema ili vizazi vijavyo viwe na kumbukumbu.
Lema ndiye alikamata waraka wa Uasi uliopelekea Wasaliti na Waasi kufukuzwa Chadema kama Mbwa!
hum mnaweza tukanawee mjuavyo lakini ukweli zitto kigoma kaskazin sivyo mfikiliavyo hapa nime anzia mwandiga,kiganza,bitale,mkongoro,kalinzi,nyarubanda,mukigo,nyakimwe,munanira,matyazo na huku ndiko eneo kuu lajimbo la kigoma kaska zin kote nimabango ya zitto na ukiwasikilza wana mpenda na wanamwita CHUMA CHA PUA sasa sielew huo ukwel unatoka wap na wakat sisi tupo huku hatuon watu kumpiga zitto na kwakifup siasa ya tz haina mwelekeo uzush mtupu
swali lako halina mashiko! kama huna hoja bora ukakaa kimya na kusoma za wenzako!
kwa hiyo unapenda maswali unayotaka kuyasikia tu masikioni mwako, majanga...............
Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, alisema kuwa juzi walipata mapokezi makubwa mjini Kigoma na kwamba kila mtu akiwa katika chama afanye kazi ya kukijenga badala ya kukibomoa.
Alisema licha ya kuwapo na madai kuwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe, ana umaarufu mkubwa mkoani humo, jambo hilo halina ukweli.
Alidai mwaka 2010 walitegemea kupata ushindi katika Jimbo la Mpanda, lakini Zitto aliandika barua akieleza kuwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, awe mgombea pekee.
Alisema baada ya chama kupata taaarifa na kutaka kumwajibisha Zitto, Mwenyekiti Mbowe, aliingilia kati na kusitisha uamuzi huo.
Alisema kutokana na waraka walioukamata aliodai uliokuwa na malengo ya kukisambaratisha chama, waliona hawana sababu za kuendelea na Zitto na kumvua nyadhifa zake na kwamba kitendo cha kuweka pingamizi mahakamani asijadiliwe kinamfanya awe mbunge wa Mahakama.
Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili, hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.
Katika hatua nyingine na mwendelezo wa M4C OPD Umati mkubwa wa wakazi wa Manispaa ya Bukoba jana walimiminika kwa wingi katika uwanja wa Uhuru kuwasikiliza Viongozi wa Chadema waliohutubia mkutano wa hadhara.
Kabla ya mkutano huo, yalifanyika maandamano makubwa yaliyokuwa yakiongozwa na vijana waendesha pikipiki.
Source: Nipashe Jumatatu.
Mtu mzima anapozungumza inatia hasira huyu molemo haoni aibu kuongea uongo?
Lema, anashikia akili watu wengi sana mbona hajasema kura za urais Kigoma Dr.Slaa alipata ngapi na Arusha ngapi na Kilimanjaro ngapi, ebu soma hapa chini kura za urais.'''Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita(6) na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili(2), hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.'''
Nimenukuu kipengere hiki na kimenivutia kweli kwa maana halisi ZITTO tangu awe Mbunge katika Jimbo hilo CDM imeshuka kwa kasi ya ajabu. na ni vema kwa sasa CDM wakafanya kazi ya ziada kuwarudisha wanachama wake ambao wameondoka CDM kwa sababu ya ZITTO kuwa Mbunge na hili lifanyike kwa kutafuta Mgombea anayefaa na ni chaguo la wanakigoma Kaskazini.
[TABLE="class: cms_table_wikitable"]
[TR]
[TD="align: left"]Willibrod Peter Slaa[/TD]
[TD="align: left"]Chama cha Demokrasia na Maendeleo[/TD]
[TD]2,271,491[/TD]
[TD]27.0[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sasa basi tukitumia Hesabu nyepesi za Kugawanya na Kutafuta Aslimia ya Kura za Kila mkoa majibu ni kama ifuatavyo:-
1. Arusha (163560/2,271,491 ) x 100 = 7.2 %
2. Kigoma (148892/2,271,491 ) x 100 =6.6%
3. Kilimanjaro (139392/2,271,491 ) x 100 =6.1%
4. Manyara ( 131951/2,271,491 ) x 100 =5.8%
[TABLE="class: cms_table_wikitable"]poor mwenyewe!Nne bila za LEMA unazikumbuka.linganisha na kata nane alizouza Zitto Kigoma.Lema kapoteza vingapi akipigania cdm.Zitto kavuna matrilioni kwa mgongo wa cdm.Mabomu tupigwe sie,uenyekiti apewe yeye.No
Mkono Luzuba,
Labda tungejiuliza Maswali mepesi Kabisa.
1. Mwaka 2000 CHADEMA ilikuwa na Madiwani wangapi Arusha Mjini ?
2. Mwaka 2005 CHADEMA ilikuwa na Madiwani wangapi Arusha Mjini?
3. Mwaka 2010 CHADEMA ilikuwa na Madiwani wangapi Arusha Mjini?
Halafu tuki Compare na hii ya Kigoma
1. Mwaka 2000 CHADEMA ilikuwa na Madiwani wangapi Kigoma Kaskazini ? =11
2. Mwaka 2005 CHADEMA ilikuwa na Madiwani wangapi Kigoma Kaskazini ? = 6
3. Mwaka 2010 CHADEMA ilikuwa na Madiwani wangapi Kigoma Kaskazini ? = 2
Then baada ya hapo tutakuwa katika nafasi ya Kusema ni nani Mzigo kati ya Lema na Zitto.
Simple
Mkuu kwani Lema amejiunga lini CDM? Yaani mtu aliyejiunga CDM kuja kutafuta uongozi unamlinganisha na watu waliojenga chamba kabla hawajaonja uongozi wa aina yoyote? CDM Arusha imejengwa mda mrefu kipindi hicho Lema yuko TLP kwa mfano ikitokea pengine Mwigulu akashindwa kwenye kura za maoni 2015 na akakimbilia Chadema. na akashinda ubunge na madiwani wengi kwenye Jimbo lake utasema mwigulu ana umhimu zaidi kuliko @ Alohonce Mawazo aliyetumia mda wake mwingi na mali kuijenga Chadema eti kwa sababu tu yeye kashinda ubunge ila ana madiwani wachache Jimboni kwake?
Ninavyojua CCM hii ndio imepalilia Udini kiasi kwamba Taarifa ya AMNEST INTERNATIONAL inaiweka Tanzania kundi Moja na Korea Kaskazini kati ya Nchi zinazotesa Wakristo Duniani.
Mtu mzima anapozungumza inatia hasira huyu molemo haoni aibu kuongea uongo?
Ujio wa Lema umeisaidia sana CHADEMA.Kama sio yeye MM asingegundulika Kirahisi.Hili Jembe linamzidi kwa mbali sana Zitto.Kuwa Mbunge wa Jiji la Wajanja kama Arusha sio Jambo Dogo.
Nitatunga kitabu kumuelezea Lema ili vizazi vijavyo viwe na kumbukumbu.
Lema ndiye alikamata waraka wa Uasi uliopelekea Wasaliti na Waasi kufukuzwa Chadema kama Mbwa!
Sio Mzigo bali ni JIZIGO
poor mwenyewe!Nne bila za LEMA unazikumbuka.linganisha na kata nane alizouza Zitto Kigoma.Lema kapoteza vingapi akipigania cdm.Zitto kavuna matrilioni kwa mgongo wa cdm.Mabomu tupigwe sie,uenyekiti apewe yeye.No
Mzigo wa Lumumba ndio maana umerudishwa huko.Kwa hiyo kumbe Zitto Kabwe naye alikua ni MZIGO!!
Mkuu.
Hata kama Lema amekuja juzi.
Sisi tunaangalia Positive impact kwa Chama.
Huwezi kushabikia Mafanikio ya CHADEMA arusha bila kumtaja Lema otherwise utakuwa na Chuki binafsi.
Issue ya kuwa CHADENA tokea zamani sio ticket ya kukivuruga CHAMA.
Na huu ndo ugomvi Mkubwa kati ya ZZK na CHADEMA.
Mkuu Bramo ukiondoa dr Slaa ambaye alikuwa mgombea uraisi 2010 hakuna kiongozi mwingine aliyezunguka kama Zitto Kabwe kuwanadi wagombea ubunge wa Chadema hilo hamlisemi?? au wabunge hawajaongezeka?? hata mwenyekiti Mbowe alikuwa bize jimboni kwake tu