mmaranguoriginal.
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 4,060
- 460
tuwekee picha mkuu wa lumumba wasije wakazomoka huku
swali lako halina mashiko! kama huna hoja bora ukakaa kimya na kusoma za wenzako!
Alikuwa TLP kwa Mrema. Ila anaijua CHADEMA kuliko aliowakuta, Thats why i hate working with Less educated People! They Tend to Know Everthing while they know nothing..Poor LEMA.Hivi mwaka 2000 na mwaka 2005 Huyu ndugu Godbless J Lema. alikuwa yuko chama gani???
Tumaini Lililorejea.
Hapana mkuu hili siyo Tumaini lililorejea , bali ni TUMAINI LILILONG'AAVU kwa kila Mtanzania mpenda mabadiliko.
Alikuwa TLP kwa Mrema. Ila anaijua CHADEMA kuliko aliowakuta, Thats why i hate working with Less educated People! They Tend to Know Everthing while they know nothing..Poor LEMA.
Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili, hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.
Sio Mzigo bali ni JIZIGO
Pamoja sana Mkuu wangu.
Tumshukuru sana Mungu kutupatia zawadi ya Chadema Tanzania.
Vipi mkuu , hii takwimu unaizungumziaje? ilikuwa ni kuporomoka kwa chadema kigoma au kukua kwa chadema kigoma?
Sio mzigo tu bali Mzigo Mzito
sawa kamanda nakiri ni kuyumba kwa chadema kigoma.....sasa ili kutenda haki, kwa heshima na taadhima tuwekee takwimu za jimbo la hai kwa mbowe (KUB).
tuambia ni madiwani wa chama gani ni wengi na kwa nn?!
Ni Zigo Zitto
Mkono Luzuba,Hivi mwaka 2000 na mwaka 2005 Huyu ndugu Godbless J Lema. alikuwa yuko chama gani???
Mtu mzima anapozungumza inatia hasira huyu molemo haoni aibu kuongea uongo?
'''Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita(6) na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili(2), hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.'''
Ebu tupe ufafanuzi juu ya hiki kilichoandikwa hapo juu ni kweli au ni uongo, na kama ni kweli hii kauli yako ya kusema mtu anasema uongo tuieleweje? kwa hiyo wewe ndio utakuwa muongo kwa kutokubaliana na ukweli.
Sio Mzigo bali ni JIZIGO