Mapokezi ya CHADEMA Kigoma Yamshangaza Lema

Mapokezi ya CHADEMA Kigoma Yamshangaza Lema

- Chadema wote ni mizigo kwa Taifa, chama cha kupokea Rushwa na kujaza mimba wabunge wake wa Viti maalum hivi bado wanayo Moral Authority ya anything kwa hili Taifa sasa hivi? Hawa ni genge la wahuni tu!!

Le Mutuz

Ukweli kuhusu mizigo na mahali ilipo anao Nape, hao wabunge ni watu wazima wanatambua wakati wa kubeba mimba hivyo wanahiari, tofauti na mtoto analiyebakwa na prof
 
huyu mini kabang kaingia ndani ya chama majuzi tu kusaka ubunge leo hii anajiona yeye ndo kakijenga chama kuliko hata wale aliowakuta!!
anasahau kwamba alipokuwa huko alikokuwa hakuna aliyekuwa anamjua zaidi ya wanaAR wachache tu.
vurugu zooote za lema ndani ya chama ni kwa sababu ya kubebwa na mbowe tu vinginevyo hana HADHI ya kuwa mjumbe kamati kuu ya chama, na zaidi angeshaadhibiwa kwa tabia yake ya kuropoka nje ya vikao halali vya chama kama katiba ya chama ibara ya 10 inavyosema!!

ulitaka aingie muda gani!!! kuingia na kupata ubunge wakati sehemu zingine walikosa ina maana jamaa jembe
 
Mnyika aliwapata kwa ulaghai. Alikua anadanganya kuwa ana degree! Kumbe aliangukia pua. Mi nilishangaa Mnyika kuwa na degree wakati up stairs ni mweupe kama karatasi

ha ha ha utabaki hivyo hivyo
 
Wanajamvi,
Yaliyoshuhudiwa Geita Jana nimeamini sasa USALITI ni mbaya. Hakika ZZK achague kufanya kitu tofauti na SIASA.
Siyo siri imeniuma sana kuona ZZK kafikia hapo. Ashauriwe asithubutu kupanda tena jukwaani.:A S 27:
 
Tufanye kupimatu kwamba kati ya lema na zitto nani kakijenga chama popote tz ,makosa yapo tu ila inapokuja kwe suala la ukweli its better to be honest...(zzk kakosea na tayari kapewa adhabu yake lakini kazi alo ifanya cdm should be noted pia)
 
Huyu kifaranga lema anabwabwaja tuu, hayo mapokezi anayoyazungumzia ni yapi? Wekeni picha watu waone jinsi mlivyokuwa kwenye mkutano na wadau wachache waliokuja kushangaa chopa. Hayo mapokezi anayoyadai hayana ushahidi kwa sisi tuliokuwepo kwenye mkutano ilikuwa ni aibu kubwa!!!
 


Alisema mwaka 2000 walikuwapo madiwani 11 katika jimbo la Zitto la Kigoma Kaskazini, lakini mwaka 2005 alipogombea walipungua na kubakia sita na kwamba mwaka 2010 walipungua zaidi na kubakia wawili, hivyo hakuna ukweli kuwa amekijenga chama katika jimbo lake.

Source: Nipashe Jumatatu.
Hili ndiyo hoja ya msingi ambayo wengi wetu tunaihoji juu ya huyu mtu maarufu Kigoma yote. Angekuwa bado anaingia humu JF angetufafanulia zaidi kuporomoka huku kwa ghafla kwa CDM ndani ya jimbo lake kwa muda mfupi.
 
148628_588844411192875_1612556810_n.jpg
 
Kwani Kafulila ni member humu Jf?

Hebu Lumumba akina sixgates watusaidie anatumia ID gani huyu mbunge anayetamani kuwa sehemu ya makamanda wa chadema
 
Last edited by a moderator:
Mnyika aliwapata kwa ulaghai. Alikua anadanganya kuwa ana degree! Kumbe aliangukia pua. Mi nilishangaa Mnyika kuwa na degree wakati up stairs ni mweupe kama karatasi

Toa ushahidi wa angalau siku moja aliyosema yeye (Mnyika) ana degree na more importantly, mwaka Mnyika alipofeli degree yake na kozi aliyokuwa anachukua!
 
Msaliti wa ngazi na aina yoyote hana tija kwa taifa iwe jua iwe mvua, iwe mchana iwe usiku, ZZK ni janga kwa UKOMBOZI na nyenzo kwa CCM
 
WACHAGA wanajidanganya sana na magazeti yao TANZANIA DAIMA na NIPASHE.ZITO bahari nyingine.
 
Toa ushahidi wa angalau siku moja aliyosema yeye (Mnyika) ana degree na more importantly, mwaka Mnyika alipofeli degree yake na kozi aliyokuwa anachukua!

Unajua malumumba wengi ni wale waliofeli elimu hata hawajui maana ya digrii. Mnyika aliairisha kusoma mpaka tupate ukombozi wa kweli kutoka kwa chama cha mafisi (Ccm) ndio ataenda kumalizia. Elimu ya chuo kikuu ukianza sio lazima umalize kama unaona haikusaidii kwa wakati huo kuna utaratibu wa kuairisha.. kumbuka siasa sio ajira useme lazima uambatanishe vyeti. Cheki na Deo Sanga
 
Back
Top Bottom